Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hii nayo ni habari jamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni kwanini CCM na Serikali yake inapenda sana ' Kuwakumbatia ' hawa Waburundi ( Wahutu ) wakati ndiyo Kundi baya la Mauwaji ya Watutsi wengi kutoka nchi ' Iliyobarikiwa ' ya Rwanda waitwao ' Intarahamwe ' ndiyo wanatoka huko?Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 10/06/2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Tawala Cha Burundi cha CNDD -FDD Ndg. Reverien Ndikuriyo. Mazungumzo hayo yemefanyika katika Ofisi za Makao za Makao Makuu ya CCM jjini Dodoma.
Katika mazungumzo hayo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi aliambatana na watumishi wandamizi wa CCM. Sambamba na mazungumzo haya zawadi mbalimbali zimetolewa.
#ChamaImara
#kaziIendelee
View attachment 1814106
View attachment 1814270
View attachment 1814107View attachment 1814108View attachment 1814110
View attachment 1814111
View attachment 1814272
Mahusiano baina ya vyamaHivi ni kwanini CCM na Serikali yake inapenda sana ' Kuwakumbatia ' hawa Waburundi ( Wahutu ) wakati ndiyo Kundi baya la Mauwaji ya Watutsi wengi kutoka nchi ' Iliyobarikiwa ' ya Rwanda waitwao ' Intarahamwe ' ndiyo wanatoka huko?
Naona wameandika tarehe 10/June/2021! Angalia vizuri!Hapo kwenye tarehe wametisha,yaani wamekutana mwezi ujao!