Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 10/06/2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Tawala Cha Burundi cha CNDD -FDD Ndg. Reverien Ndikuriyo. Mazungumzo hayo yemefanyika katika Ofisi za Makao za Makao Makuu ya CCM jjini Dodoma.
Katika mazungumzo hayo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi aliambatana na watumishi wandamizi wa CCM. Sambamba na mazungumzo haya zawadi mbalimbali zimetolewa.
Hivi ni kwanini CCM na Serikali yake inapenda sana ' Kuwakumbatia ' hawa Waburundi ( Wahutu ) wakati ndiyo Kundi baya la Mauwaji ya Watutsi wengi kutoka nchi ' Iliyobarikiwa ' ya Rwanda waitwao ' Intarahamwe ' ndiyo wanatoka huko?