Dodoma: Kofia mbili kuchomoza mabadiliko CCM

Kwani huwa kuna kura za Mwenyekiti practically! Ile huwa ni 'maagizo' hakuna mchakato wa kura pale kupata Mwenyekiti, mara zote Rais ndiyo huwa Mwenyekiti moja kwa moja.
 
Ili ccm ibakie salama kofia mbili zitenganishwe. Mwenyekiti asiwe na nguvu kuliko wanachama
Tatizo ni tabia zetu za kuendekeza makundi, Rais anaweza wajibishwa bila hata makosa watu waki gang up...Tukazane na maadili na kudhibiti maadili kwa penalty kubwa hayo yakutengenisha Africa bado kabisa. Watu wetu wengi hawapo honest and sincere, hawana confidence na wala hawajui kusimamia haki zao
 
Mbona nasikia wenyeviti wa mikoa wanalambq donge nono?
 
CCM chama tawala hakina uwezo wa kuandaa kabrasha lenye maelekezo muhimu ya kufanyiwa kazi na makatibu wake wa mikoa na kuwafikishia walitumie kupitia njia mbalimbali za mawasiliano? Wanataka waje ndani ya vikao ili wasikie kwa masikio yao.Daah!
Nakuona Mataga
 
Namba 4 sio kweli..wenyeviti wa mikoa na wilaya wanalipwa posho kila mwezi
 

CCM wanabadilisha katiba yao ya 1977 iendane na wakati, kwanini hawataki tubadili Katiba ya JMT ya 1977​





Niambie ipo Ofisi ya ccm Kata mji mpya dodoma? Weka picha
Majengo ipo..na sasa inahamishiwa Bahi road
 
Chadema wao wanategemea kuanzisha Maria space kama tawi maalum la chama
 
Maadili bila udhibiti wa sheria ni ngumu
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…