Dodoma kuna shida ya upatikanaji wa Hati Miliki za Ardhi, hali ipoje huko kwenu?

Niliwapa 300k kwa kila plot,hapo ni nje ya ile nliolipia baada ya kutumiwa control number kutoka wizarani.

Plot zenyewe ziko kibaha huko lakini wamekimbiza chap mchakato
Duu kwa Arusha sipati connection kabisa
 
Mkuu usitoe hongo kwa haki yako. Lini utakwenda jiji tuonane na utajua hati yako imefikia hatua gani na lini ujaichukue kwa msajili wa hati.Nasisitiza USITOE RUSHWA KWA HAKI YAKO!!
 
Basi hata mimi nakutafuta naomba msaada hapo jiji dodoma.Mzee tupe namba yako.
 
Back
Top Bottom