Dodoma: Maadhimisho ya Mei Mosi, Waliofukuzwa kwa vyeti feki kulipwa, ahadi ya Nyongeza ya Mishahara yatolewa, Unyanyasaji kazini wakemewa

Dodoma: Maadhimisho ya Mei Mosi, Waliofukuzwa kwa vyeti feki kulipwa, ahadi ya Nyongeza ya Mishahara yatolewa, Unyanyasaji kazini wakemewa

Hii nchi inashangaza sana vile watumishi wanavyochukiwa!
Ww walimu sio watumishi
Uliona bnago la wafanyakazi wa TRA?
Watumishi wa umma ni hawa waliopo; TCRA, EWURA, TPDF, TANAPA, TRA, NSSF, TANESCO, WCF, EGA, TARURA, TANROADS, PCCB,
 
Yes inawezekana hataki kusababisha mfumuko wa bei
Akili yako haina akili. Samia ameshaleta mfumuko wa bei pale aliposema vitu vitapanda bei. Bado anaendeleza pale alipoishia LIJIZI Magufuli, Samia anaiba hazina na MIJIZI wenzake akina Mpango, Majaliwa na Mwigulu, wakitoshoka na zikibaki , wataongeza mishahara na kutoa ajira mpya. CCM ni laana katika nchi.
 
Hii nchi inashangaza sana vile watumishi wanavyochukiwa!
UKiwa mtumishi unatakiwa kujua JAMII inayokuzunguka haikupendi. Na sababu kubwa Ni CHUKI na WIVU.

Hata hao wanasiasa kina Makamba, Kinana, Kikwete na Nape ukifuatilia sana utakuta Chuki Dhidi ya Ni WIVU.

Muhimu, ujue MAHITAJI yako na HAKI ZAKO na Ni Nani anapaswa kukupa.

Pili, JAMII ishi nayo kwa akili kwasababu hawakunipendi. Kinachoficha Jambo hili Ni kwasababu wabongo wengi Ni mabingwa wa UNAFIKI.
 
wenzetu majirani kenya hapo rais wao amewapandishia mshahara kwa asilimia 12, ilihali wao wakati wa Corona waliwekwa lockdown ila sisi Tanzania tukipiga kazi masaa 24,kweli kukaa karibu na kiwanda sio wepesi wa kupata kazi
 
Back
Top Bottom