Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamhuri Dodoma na Kirumba ni ngumu mno kupata matokeo chanya kwa team mgeniMama 3- watumishi 0
Uwanja wa barafu na kirumba mwajiliwa hajawahi kuchomokaJamhuri Dodoma na Kirumba ni ngumu mno kupata matokeo chanya kwa team mgeni
Ndio imeisha hiyoBado hajagusa
Wamepigwa tena!Mmeumizwa
Shida umesoma kwa hisia kutokana na kutoongezwa mshahara kwa kipindi kirefu kiasi kwamba anaetoa maoni tofauti na unavyoona wewe unahisi kama adui, kwa akili ya kawaida haiwezekani kila mtu akaacha kazi kwenda kutafuta sehemu nyingine ambako unaulizwa tukulipe ngapi.Mkuu wewe subiri siku ya Saba Saba(siku ya wakulima) ukalilie ongezeko la Bei ya mazao, sisi tuache tulilie nyongeza ya mshahara, unadhani Kila mtu akiacha kazi kisa kuogopa kudai masrahi mazuri nani atalitumikia taifa letu?
WameshapigwaSawa kabisa. Naona kuna dalili za Watumishi kupigwa hapa!
Mwakani wajaribu Uwanja wa Misunkumilo huko Katavi! Huwenda wakapata matokeo mazuri.Uwanja wa barafu na kirumba mwajiliwa hajawahi kuchomoka
Daah! Inahuzunisha sana!Wameshapigwa
Kazi Iendelee.....
Makam wa rais wa USA alipatwa na niniMbona anakohoa saana na kupaliwa hivyo
Mpango akae nae mbali.Makam wa rais wa USA alipatwa na nini
TAYARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIITAYARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Sipo mkuuMlio kwenye luninga vipi huko