Dodoma: Maadhimisho ya Mei Mosi, Waliofukuzwa kwa vyeti feki kulipwa, ahadi ya Nyongeza ya Mishahara yatolewa, Unyanyasaji kazini wakemewa

Dodoma: Maadhimisho ya Mei Mosi, Waliofukuzwa kwa vyeti feki kulipwa, ahadi ya Nyongeza ya Mishahara yatolewa, Unyanyasaji kazini wakemewa

Watumishi waliopo uwanjani hapo wafanye maandamano haiwezekani miaka 8 wanaburuzwa tu.
 
Mkuu wewe subiri siku ya Saba Saba(siku ya wakulima) ukalilie ongezeko la Bei ya mazao, sisi tuache tulilie nyongeza ya mshahara, unadhani Kila mtu akiacha kazi kisa kuogopa kudai masrahi mazuri nani atalitumikia taifa letu?
Shida umesoma kwa hisia kutokana na kutoongezwa mshahara kwa kipindi kirefu kiasi kwamba anaetoa maoni tofauti na unavyoona wewe unahisi kama adui, kwa akili ya kawaida haiwezekani kila mtu akaacha kazi kwenda kutafuta sehemu nyingine ambako unaulizwa tukulipe ngapi.

Kwa taarifa yako hutakiwi kudai nyongeza kwani nyongeza ya mshahara ni haki yako hata bila kuidai kwa kuwa kila siku hata BOT huwa wanatoa kushuka na kuongezeka thamani kwa hela yetu hivyo hata kwa wafanyakazi kunatakiwa kuwe na inflation adjustment kila baada ya miezi kadhaa au mwaka achilia mbali kutumia kigezo cha "cost of living adjustment". Bahati mbaya kwa TZ mnabaki kumsubiri mtu mmoja atamke siku ya Mei Mosi na mpaka hivi sasa ni miaka zaidi ya 5 hakuna nyongeza kinyume na taratibu which means alieajiriwa mwaka 2016 ni sawa na aliajiriwa 2020. Ndio maana nikasema njia nyingine mbadala ya kupata mshahara ni kutafuta kazi sehemu nyingine kwa wale wachache wazee wa ku-risk wasiotaka kusubiri kikokotoo na ambao hawajakaa muda mrefu ila wengine mkomae mkisubiri kikokotoo mkifikisha miaka 60 ya kustaafu.

Mkuu acha nisubiri sikukuu yetu ya NANENANE maana sikukuu yetu ya SABASABA walishatunyang'anya, I hope kwenye kudai bei ya mazao tutakuwa pamoja maana raia wengi ni wakulima watarajiwa.
 
Ili nyongeza iwepo inatakiwa Wabunge na Mawaziri wapunguziwe mishahara na maruputupu yao!!! Au Wakuu wa Idara nao wanyang’anywe stahiki za madaraka wabaki na mishahara yao tu(ambayo ni midogo lkn minono ukilinganisha na Watumishi wengine-Jiulize wanamishahara minono na bado wana posho za madaraka kuzidi Basic Salary za Watumishi wa kawaida)


Je hilo linawezekana? Ukizingatia miongozo na taratibu zote hupangwa na Walio juu?


Fikiria leo hii first appointment ya Mtu akiripoti Serikali haiwajibiki hata kujua
UTALALA wapi ukiwa kwenye eneo la kazi lkn Wateulr au Wakuu wa idara pamoja na mishahara minono bado Wanapatiwa nyumba!!!

Hivi kati ya anayeanza kazi na huyu kibosile nani alistahili kukirimiwa vizuri?
 
TAYARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
TAYARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
TAYARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Back
Top Bottom