Dodoma: Maelfu washiriki 'Generation S Samia Jogging'

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Mhe. Shekimweri ameyasema hayo Leo Desemba 7,2024 wakati akizungumza na vijana zaidi ya 1000 waliokusanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwenye Mbio za Gen S Samia Jogging.

Pia, Soma: Generation Samia kuanza na Jogging kubwa ya historia Dodoma

View attachment 3171264
Haman ubunifu, ni uchawa kwa namna nyingine
 
MAELFU WASHIRIKI 'GENERATION SAMIA JOGGING' DODOMA

Maelfu ya vijana leo wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika tukio la Generation Samia Jogging lililofanyika jijini Dodoma, wakionesha mshikamano wa dhati na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
IMG-20241207-WA0015.jpg

Tukio hilo lililovuta hisia limekuwa nembo ya mshikamano wa kizazi kipya, likidhihirisha jinsi vijana wanavyothamini na kuunga mkono dira ya maendeleo ya serikali.
IMG-20241207-WA0017.jpg

Wakiwa na ari na nguvu, washiriki walionekana kuwa na furaha na bashasha, huku wakitoa ujumbe wa kumuunga mkono Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
IMG-20241207-WA0014.jpg

Kwa mujibu wa waandaaji, mafanikio makubwa ya tukio hili yanaashiria azma ya vijana kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kushiriki agenda za maendeleo ya taifa na kumuunga mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
IMG-20241207-WA0016.jpg

Aidha, wameahidi matukio zaidi ya aina hii yatakayolenga kuimarisha mshikamano wa kijamii, kukuza ari ya kizalendo, na kuhamasisha jamii kuishi kwa mtazamo chanya wa maendeleo.
 
No such thing as samia generation
 
Samia jogging
Samia cup
Samia festival
Samia stadium
Samia Marathon
🫢🫣
 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Mhe. Shekimweri ameyasema hayo Leo Desemba 7,2024 wakati akizungumza na vijana zaidi ya 1000 waliokusanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwenye Mbio za Gen S Samia Jogging.

Pia, Soma: Generation Samia kuanza na Jogging kubwa ya historia Dodoma

View attachment 3171264
Ila mwakani mtoe form hata 4 ili watu wengine nao wagombee
 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Mhe. Shekimweri ameyasema hayo Leo Desemba 7,2024 wakati akizungumza na vijana zaidi ya 1000 waliokusanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwenye Mbio za Gen S Samia Jogging.

Pia, Soma: Generation Samia kuanza na Jogging kubwa ya historia Dodoma

View attachment 3171264
Ukata serikalini mpaka wanafuta gwaride la uhuru

Ukaka ukata kila mahali
 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Mhe. Shekimweri ameyasema hayo Leo Desemba 7,2024 wakati akizungumza na vijana zaidi ya 1000 waliokusanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwenye Mbio za Gen S Samia Jogging.

Pia, Soma: Generation Samia kuanza na Jogging kubwa ya historia Dodoma

View attachment 3171264
uzalendo kwa vitendo ni jambo la maana sana :NoGodNo:
 
Acha ujinga maelfu wapo wapi hapo?. Hata mia tatu hawafiki.
 
Samia jogging
Samia cup
Samia festival
Samia stadium
Samia Marathon
🫢🫣
Bado ile complex ya Dodoma. Siasa zimekuwa kila sehemu. Jina binafsi la rais limekuwa mbadala wa nchi na serikali.
 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Mhe. Shekimweri ameyasema hayo Leo Desemba 7,2024 wakati akizungumza na vijana zaidi ya 1000 waliokusanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwenye Mbio za Gen S Samia Jogging.

Pia, Soma: Generation Samia kuanza na Jogging kubwa ya historia Dodoma

View attachment 3171264
Hao wana akili timamu???????
 
Back
Top Bottom