mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mhe. Shekimweri ameyasema hayo Leo Desemba 7,2024 wakati akizungumza na vijana zaidi ya 1000 waliokusanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwenye Mbio za Gen S Samia Jogging.
Pia, Soma: Generation Samia kuanza na Jogging kubwa ya historia Dodoma
View attachment 3171264
Ina maana kampeini zimeanza tayariMkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mhe. Shekimweri ameyasema hayo Leo Desemba 7,2024 wakati akizungumza na vijana zaidi ya 1000 waliokusanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwenye Mbio za Gen S Samia Jogging.
Pia, Soma: Generation Samia kuanza na Jogging kubwa ya historia Dodoma
View attachment 3171264
Hamna kitu wanajichosha tu hao
Huyu mama akiukosa Urais atadata.
jorging ni mazoezi ya kuimarisha afya na utimamu wa mwili gentleamanHamna kitu wanajichosha tu hao
Ova

Wakati wa Nyerere tungekuwa na huu utoto.Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mhe. Shekimweri ameyasema hayo Leo Desemba 7,2024 wakati akizungumza na vijana zaidi ya 1000 waliokusanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwenye Mbio za Gen S Samia Jogging.
Pia, Soma: Generation Samia kuanza na Jogging kubwa ya historia Dodoma
View attachment 3171264
Sasa unanifundisha mm mazoezijorging ni mazoezi ya kuimarisha afya na utimamu wa mwili gentleaman![]()
Na kheri iwe hivyo asee.Na ikitokea ccm wakaruhusu wengine wachukue fomu ndo kabisaaa tumsahau.