Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Haman ubunifu, ni uchawa kwa namna nyingineMkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mhe. Shekimweri ameyasema hayo Leo Desemba 7,2024 wakati akizungumza na vijana zaidi ya 1000 waliokusanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwenye Mbio za Gen S Samia Jogging.
View attachment 3171264
No such thing as samia generationMAELFU WASHIRIKI 'GENERATION SAMIA JOGGING' DODOMA
Maelfu ya vijana leo wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika tukio la Generation Samia Jogging lililofanyika jijini Dodoma, wakionesha mshikamano wa dhati na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
Tukio hilo lililovuta hisia limekuwa nembo ya mshikamano wa kizazi kipya, likidhihirisha jinsi vijana wanavyothamini na kuunga mkono dira ya maendeleo ya serikali.
Wakiwa na ari na nguvu, washiriki walionekana kuwa na furaha na bashasha, huku wakitoa ujumbe wa kumuunga mkono Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kwa mujibu wa waandaaji, mafanikio makubwa ya tukio hili yanaashiria azma ya vijana kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kushiriki agenda za maendeleo ya taifa na kumuunga mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Aidha, wameahidi matukio zaidi ya aina hii yatakayolenga kuimarisha mshikamano wa kijamii, kukuza ari ya kizalendo, na kuhamasisha jamii kuishi kwa mtazamo chanya wa maendeleo.
Ila mwakani mtoe form hata 4 ili watu wengine nao wagombeeMkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mhe. Shekimweri ameyasema hayo Leo Desemba 7,2024 wakati akizungumza na vijana zaidi ya 1000 waliokusanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwenye Mbio za Gen S Samia Jogging.
Pia, Soma: Generation Samia kuanza na Jogging kubwa ya historia Dodoma
View attachment 3171264
Ukata serikalini mpaka wanafuta gwaride la uhuruMkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mhe. Shekimweri ameyasema hayo Leo Desemba 7,2024 wakati akizungumza na vijana zaidi ya 1000 waliokusanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwenye Mbio za Gen S Samia Jogging.
Pia, Soma: Generation Samia kuanza na Jogging kubwa ya historia Dodoma
View attachment 3171264
uzalendo kwa vitendo ni jambo la maana sanaMkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mhe. Shekimweri ameyasema hayo Leo Desemba 7,2024 wakati akizungumza na vijana zaidi ya 1000 waliokusanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwenye Mbio za Gen S Samia Jogging.
Pia, Soma: Generation Samia kuanza na Jogging kubwa ya historia Dodoma
View attachment 3171264
Bado ile complex ya Dodoma. Siasa zimekuwa kila sehemu. Jina binafsi la rais limekuwa mbadala wa nchi na serikali.Samia jogging
Samia cup
Samia festival
Samia stadium
Samia Marathon
🫢🫣
relax gentleman, relax mambo bado na tupo gado mno, huo ni mwanzo tu, hizo ni cheche tuSafi kabisa ni aibu kubwa kama ndugu Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah hawakushiriki katika zoezi hili adimu
Hao wana akili timamu???????Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan