Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
KwahIyo hapo utabiri wako uko sahihi si ndio?Mimi ni mmoja wa watabiri wa kusema kwamba hawa watuhumiwa wataachiwa kutokana na udhaifu wa ushahidi, lakini kuna wale waling'ang'ana kwamba video ipo.
Video siyo ushahidi mzuri kwa sababu una vipengele vingi na hata hivyo, muda ulikuwa umeenda sana kiasi kwamba ikawa vigumu kutambua ni uume wa nani uliingia maungoni mwa Binti.