mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ah maana kuna mtu humu kisa kawaona wakina madeleka,wakina tls na taasisi za harakati wameingilia kesi anaona sawa tu huyu binti sawa tu kufanyiwa vileMkuu Pascal Mayalla with all due respect nakuomba uje utowe darasa la sheria hapa, ni lack of law knowledge.
Hao wote hapo juu wamecomment bila kujuwa kesi ya msingi iko palepale mahakamani, na hao walawiti na wabakaji hawachomoki.
Ova