Dodoma: Mahakama Kuu yatupilia mbali shauri la mapitio kuhoji Uhalali wa Mawakili kuwatetea waliombaka Binti wa Yombo

KwahIyo hapo utabiri wako uko sahihi si ndio?
 
Kweli nimeamini sisi watanganyika vichwa maji Sana.
Yaani asilimia 90 waliochangia huu Uzi wanachangia kitu wasichokijua,sijui hawajasoma habari yenyewe au vipi.
Mbona Mimi nimesoma na hakuna walioelezea maamuzi ya Ile kesi ya kina Nyundo??
Ccm imewekeza vya kutosha kwenye ujinga.

Wanaomshangilia mama kwa utopolo wa jana, kesho akija na statement nyingine utaona haohao wanashangilia mama ni msikivu.
 
Acha mbwembwe wewe, wale mabwana zako lazima wafungwe wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…