Uchaguzi 2020 Dodoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Dodoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dodoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Dodoma una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10. Wagombea walioshinda kwenye hayo majimbo ambayo ni;

Chemba -

Mohamed Monni (CCM) - Kura 35,168
Kunti Majala (CHADEMA) - Kura 21,907

Bahi -
Keneth Ernest Nollo (CCM) - Kura 40,628.
Godfrey Job (Chadema) - Kura 2,249.

Kibakwe -

George Simbachawene (CCM) - Kura 37,626
Msafiri William (CHADEMA) - Kura 5,989

Mpwapwa -
George Malima (CCM) - Kura 29,693

Ezekiel Chisinjila (CHADEMA) - Kura 5,989

Mvumi -
Livingstone Lusinde (CCM) - Kura 41,371

Khadija Maula (CHADEMA) - Kura 5,665

Dodoma Mjini -
Anthony Mavunde (CCM) - Kura 86,656
Aisha Madoga (CHADEMA) - Kura 13,586

Kongwa -

JOB YUSTINO NDUGAI - Amepita bila kupingwa

Kondoa Mjini -

Ally Makoa (CCM) - Kura 15,220
Salehe Kizota (CHADEMA) - Kura 1,862

Kondoa Vijijini -

Dk Ashatu Kijaji (CCM) - Kura 38,131
Monica Saja (CHADEMA) - Kura 5,688

Chamwino -

Deo Ndejembi (CCM) - Kura 67092
Diana Simba (CUF) - Kura 990

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Nitakuwa mfuatiliaji mzuri wa Michango yenu.
 
Wagogo wengi hawajielewi ni ma CCM, angalau warangi kondoa mjini wanaweza kufanya mabadiliko mwaka huu ikiwa wakurugenzi wa Jiwe hawatapindua meza.
 
Kuna mabomu yanalindima Dodoma, Kikuyu.
 
Wagogo wengi hawajielewi ni ma CCM, angalau warangi kondoa mjini wanaweza kufanya mabadiliko mwaka huu ikiwa wakurugenzi wa Jiwe hawatapindua meza.
Mzee hii haina Ugogo tumepigwa wote tu.
 
Back
Top Bottom