Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Naunga mkono hojaMbunge wa Ngara ameiomba serikali kuanzisha mtaala mpya wa Utajiri mashuleni ili kuwezesha Wahitimu kuwa na ari ya uwekezaji wanapomaliza masomo yao , amesema jambo hilo ni muhimu likafanyika ili kuleta akili mpya vichwani mwa watu na kuondoa ile dhana kwamba kila Tajiri ni fisadi .
Ameshangaa sana kuona nchi hii hakuna Waziri hata mkoja anayemiliki ndege binafsi , kwa madai kwamba wote wanaogopa kuitwa Mafisadi .
Toa maoni yako .
Jamaa anaakili sanaMbunge wa Ngara ameiomba serikali kuanzisha mtaala mpya wa Utajiri mashuleni ili kuwezesha Wahitimu kuwa na ari ya uwekezaji wanapomaliza masomo yao , amesema jambo hilo ni muhimu likafanyika ili kuleta akili mpya vichwani mwa watu na kuondoa ile dhana kwamba kila Tajiri ni fisadi .
Ameshangaa sana kuona nchi hii hakuna Waziri hata mkoja anayemiliki ndege binafsi , kwa madai kwamba wote wanaogopa kuitwa Mafisadi .
Toa maoni yako .
Kwa mtazamo wako mkuu ilipaswa kuwa hivyo maana neno Utajiri ni pana sana. Elimu itolewe juu ya Biashara na uwekezaji kuanzia ngazi ndogo ya Ujasiriamali hadi kufikia uwekezaji mkubwa.Naunga mkono hoja though UTAJIRI ni neno pana,angesema tufundishwe elimu ya kujiari,usimamizi na udhibiti wa fedha,hati fungani na hisa..
Nadhani tunalo la kujifunza toka kwa wenzetu wenye asili ya INDIA
DuuuhKwa mtazamo wako mkuu ilipaswa kuwa hivyo maana neno Utajiri ni pana sana. Elimu itolewe juu ya Biashara na uwekezaji kuanzia ngazi ndogo ya Ujasiriamali hadi kufikia uwekezaji mkubwa.
Upuuzi mtupu.
Hilo somo litafundishwa na nani? Litafundishwa na hawa walimu maskini walioshindwa kuondoa umaskini wao, viongozi na watendaji wa Serikali waliopata utajiri kwa kuiba pesa ya umma au wataombwa watu wenye utajiri halali kama akina Bakhresa?
Nadhani Mh Mbunge anajua kwamba mawaziri wanazo hela ila wanaogopa kuzitumia ili wasionekane weziWapigaji tu kwa mshahara wa kawaida hakuna mwenye ubavu wa kuwa na ndege