Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sleeve = slave?? Uwe unaandika kwa kiswahili ili kuepusha aibu ndogondogo.Mtaala wetu unatengeneza expensive sleeve ( watumwa wa hadhi ya juu) ni hatari .
Huna budi kujua lugha ya BWANA wako
Si raisi kujikwamia
Kichaa huyu! Kenge mkubwa!Mwambie 2025 sio Mbali
Ujumbe umefika!!Sleeve = slave?? Uwe unaandika kwa kiswahili ili kuepusha aibu ndogondogo.
Hakuna uhusiano kati ya utajiri na kusoma. Mbona masomo ya kutajirisha yapo vyuoni pia!! Kuna somo la entrepreneurship linafundishwa vyuo vingi na kuna watu wanapata A+ lakini wakija mtaani mambo ni tofauti kabisa.Mbunge wa Ngara ameiomba serikali kuanzisha mtaala mpya wa Utajiri mashuleni ili kuwezesha Wahitimu kuwa na ari ya uwekezaji wanapomaliza masomo yao , amesema jambo hilo ni muhimu likafanyika ili kuleta akili mpya vichwani mwa watu na kuondoa ile dhana kwamba kila Tajiri ni fisadi .
Ameshangaa sana kuona nchi hii hakuna Waziri hata mmoja anayemiliki ndege binafsi , kwa madai kwamba wote wanaogopa kuitwa Mafisadi .
Toa maoni yako .
Aiseeeee !!!!Hakuna uhusiano kati ya utajiri na kusoma. Mbona masomo ya kutajilisha yapo vyuoni pia!! Kuna somo la entrepreneurship linafundishwa vyuo vingi na kuna watu wanapata A+ lakini wakija mtaani mambo ni tofauti kabisa.
Kuna wachagga matajiri kule Arusha na Moshi akina Lasway, Njake au Sunda. Hawakufika hata sekondari ila ujasiri wao wa kuvusha magendo Kenya ndiyo chanzo cha utajiri wao.
Kuna Wakinga huko Mbeya, Iringa, Njombe na Kariakoo ambao hawakusoma kabisa, ila wamekubali masharti ya kuwaua au kuwaweka ndugu zao misukule kwenye vyumba maalum, nao ni matajiri. Lakini kwa kuwaangalia wanaishi maisha ya chini kuliko maskini