Dodoma: Mbunge aomba uanzishwe mtaala wa Utajiri mashuleni

Dodoma: Mbunge aomba uanzishwe mtaala wa Utajiri mashuleni

Mtaala kuhusu financial education how to be free finacially.....mwalimu mmojawapo Ni Richard KIYOSAKI..RICH DAD POOR DAD anamadini makali Sana vitumike vitabu vyake....
Mada sake.
utajiri Ni Nini?
Umasikini Ni Nini?
Mbinu za kukuza kipato chako, nk

Hata DONARD TRUMP anamadini makali Sana kuhusu kufanikiwa kiuchumi.

Achana na motivation. Wafunfishe kwa mifano halisi
Na utajiri inapatikana katika biashara na uwekezaji
 
Mtaala wetu unatengeneza expensive sleeve ( watumwa wa hadhi ya juu) ni hatari .
Huna budi kujua lugha ya BWANA wako
Si raisi kujikwamia
 
dronedrake unapiga CAD hela zaja ghetto.
Utajiri wa kwanza ni kujijua we ni nani ? Wengi wanafikiri amesomea nini ndio yeye, hujijui huwezi jua Unaelekea wapi na kudandia yasiyo kuhusu mwisho una lost passion na vision Hatimaye malengo na uelekeo.
FB_IMG_16782002729099328.jpg
 
Mbunge wa Ngara ameiomba serikali kuanzisha mtaala mpya wa Utajiri mashuleni ili kuwezesha Wahitimu kuwa na ari ya uwekezaji wanapomaliza masomo yao , amesema jambo hilo ni muhimu likafanyika ili kuleta akili mpya vichwani mwa watu na kuondoa ile dhana kwamba kila Tajiri ni fisadi .

Ameshangaa sana kuona nchi hii hakuna Waziri hata mmoja anayemiliki ndege binafsi , kwa madai kwamba wote wanaogopa kuitwa Mafisadi .

Toa maoni yako .
Namuunga mkono ila lifundishwe chuoni na lecturer lazima uwe tajiri ndio qualification ,just imagine unafundishwa pindi na Mo au Bakheresa Kwa saa Moja unaweza acha chuo unaingia mtaani kupambana.
 
Kuna wapumbavu bado wamo humu walishaaminishwa na marehemu kuwa kila tajiri ni fisadi. Au ukiikosoa serikali ya awamu ile ya jizi basi wewe utaitwa ni vyeti feki au fisadi, au sio mzalendo. Bwana yule kwa propaganda alikuwa masta kabisa
 
Mbunge amesema indirectly ila tulishaongea sana humu JF tuliosoma international development kuwa nchi hii inahitaji kubadilisha ideology kutoka ujamaa ( kugawana Umaskini) kwenda capitalism ( uwekezaji and self employment) na lugha ya kufundishia iwe English kuanzia primary hadi Chuo Kikuu kwa mtaala wa Cambridge Ili kuifungua nchi through international transfer of Capital and technology ( mtoto anahoji Kila kitu mpaka unamkimbia)

Mwanangu anasoma English medium darasa la 5 tu ila ninapoongea nae ana akili nilizokuwa nazo Mimi nikiwa form three!! He is extra smart!

Ukweli ni kuwa watawala wetu nadhani wengi wanaenda Jehannam wanapokufa sababu ya ufisadi na vile ukweli wanaujua kuwa sera za nchi hii ndio zinaleta Umaskini na hawako tayari kuzibadili Ili kuendelea kuabudiwa kitu wanachofurahia sana.
 
Mbunge wa Ngara ameiomba serikali kuanzisha mtaala mpya wa Utajiri mashuleni ili kuwezesha Wahitimu kuwa na ari ya uwekezaji wanapomaliza masomo yao , amesema jambo hilo ni muhimu likafanyika ili kuleta akili mpya vichwani mwa watu na kuondoa ile dhana kwamba kila Tajiri ni fisadi .

Ameshangaa sana kuona nchi hii hakuna Waziri hata mmoja anayemiliki ndege binafsi , kwa madai kwamba wote wanaogopa kuitwa Mafisadi .

Toa maoni yako .

Hahahaaa noma sana.
 
Wamevimbirwa Sasa wanatujambia hawa wafuasi wa mwendazake aka kibwetele
 
Me nafiki wafundishe namna ya kudhibiti pesa/matumizi mazuri ya pesa. sometimes s kuwa pesa hatuna ni matumizi tu ndo yanaleta shda tho kuna watu pesa inakosa..
 
Mbunge katika ubora wa kiCCM .hawa viumbe wa kijani kukaa nao ni kama kukaa na wendawazimu, ukiwapa hiyo ruhusa watatuuza .nani kamwambia kutumikia wananchi kunatajirisha watu .
 
Namuunga mkono ila lifundishwe chuoni na lecturer lazima uwe tajiri ndio qualification ,just imagine unafundishwa pindi na Mo au Bakheresa Kwa saa Moja unaweza acha chuo unaingia mtaani kupambana.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Upuuzi mtupu.

Hilo somo litafundishwa na nani? Litafundishwa na hawa walimu maskini walioshindwa kuondoa umaskini wao, viongozi na watendaji wa Serikali waliopata utajiri kwa kuiba pesa ya umma au wataombwa watu wenye utajiri halali kama akina Bakhresa?
Umefikiria kama mimi.
Mwalimu shule ya kata anaingia darasani kufundisha utajiri.
Watakua kama motivation speaker tu.
 
Back
Top Bottom