Mpentecoste
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 283
- 319
computer aided design au ?
Au wewe una design kwa tools za enzi za Mwalimu.computer aided design au ?
hapana natumia Altium na KiCADAu wewe una design kwa tools za enzi za Mwalimu.
Okay Nyeto Prime Ministerhapana natumia Altium na KiCAD
Namuunga mkono ila lifundishwe chuoni na lecturer lazima uwe tajiri ndio qualification ,just imagine unafundishwa pindi na Mo au Bakheresa Kwa saa Moja unaweza acha chuo unaingia mtaani kupambana.Mbunge wa Ngara ameiomba serikali kuanzisha mtaala mpya wa Utajiri mashuleni ili kuwezesha Wahitimu kuwa na ari ya uwekezaji wanapomaliza masomo yao , amesema jambo hilo ni muhimu likafanyika ili kuleta akili mpya vichwani mwa watu na kuondoa ile dhana kwamba kila Tajiri ni fisadi .
Ameshangaa sana kuona nchi hii hakuna Waziri hata mmoja anayemiliki ndege binafsi , kwa madai kwamba wote wanaogopa kuitwa Mafisadi .
Toa maoni yako .
Mbunge wa Ngara ameiomba serikali kuanzisha mtaala mpya wa Utajiri mashuleni ili kuwezesha Wahitimu kuwa na ari ya uwekezaji wanapomaliza masomo yao , amesema jambo hilo ni muhimu likafanyika ili kuleta akili mpya vichwani mwa watu na kuondoa ile dhana kwamba kila Tajiri ni fisadi .
Ameshangaa sana kuona nchi hii hakuna Waziri hata mmoja anayemiliki ndege binafsi , kwa madai kwamba wote wanaogopa kuitwa Mafisadi .
Toa maoni yako .
Wamevimbirwa Sasa wanatujambia hawa wafuasi wa mwendazake aka kibweteleMbunge wa Ngara ameiomba serikali kuanzisha mtaala mpya wa Utajiri mashuleni ili kuwezesha Wahitimu kuwa na ari ya uwekezaji wanapomaliza masomo yao , amesema jambo hilo ni muhimu likafanyika ili kuleta akili mpya vichwani mwa watu na kuondoa ile dhana kwamba kila Tajiri ni fisadi .
Ameshangaa sana kuona nchi hii hakuna Waziri hata mmoja anayemiliki ndege binafsi , kwa madai kwamba wote wanaogopa kuitwa Mafisadi .
Toa maoni yako .
Waongee tuu ila wajue 2025 watadaiwa, wawe na cha kuonyesha
[emoji38][emoji38][emoji38]Namuunga mkono ila lifundishwe chuoni na lecturer lazima uwe tajiri ndio qualification ,just imagine unafundishwa pindi na Mo au Bakheresa Kwa saa Moja unaweza acha chuo unaingia mtaani kupambana.
Bunge la kijani ,legacy ya jiwe [emoji16]
Umefikiria kama mimi.Upuuzi mtupu.
Hilo somo litafundishwa na nani? Litafundishwa na hawa walimu maskini walioshindwa kuondoa umaskini wao, viongozi na watendaji wa Serikali waliopata utajiri kwa kuiba pesa ya umma au wataombwa watu wenye utajiri halali kama akina Bakhresa?