Dodoma: Mbunge aomba uanzishwe mtaala wa Utajiri mashuleni

Nchi fulani ukitaka utajiri
We iba,cheza faulo utajiri utauona

Ova
 
Mtaala wetu unatengeneza expensive sleeve ( watumwa wa hadhi ya juu) ni hatari .
Huna budi kujua lugha ya BWANA wako
Si raisi kujikwamia
Sleeve = slave?? Uwe unaandika kwa kiswahili ili kuepusha aibu ndogondogo.
 
Wiki hii kumekuwa na mfululizo wa wabunge kuongea pumba. Wiki mbaya sana hii kwa waheshimiwa.
 
Somo la ujasiriamali na stadi za kazi itapendeza sana...
 
Hakuna uhusiano kati ya utajiri na kusoma. Mbona masomo ya kutajirisha yapo vyuoni pia!! Kuna somo la entrepreneurship linafundishwa vyuo vingi na kuna watu wanapata A+ lakini wakija mtaani mambo ni tofauti kabisa.

Kuna wachagga matajiri kule Arusha na Moshi akina Lasway, Njake au Sunda. Hawakufika hata sekondari ila ujasiri wao wa kuvusha magendo Kenya ndiyo chanzo cha utajiri wao.

Kuna Wakinga huko Mbeya, Iringa, Njombe na Kariakoo ambao hawakusoma kabisa, ila wamekubali masharti ya kuwaua au kuwaweka ndugu zao misukule kwenye vyumba maalum, nao ni matajiri. Lakini kwa kuwaangalia wanaishi maisha ya chini kuliko maskini
 
Aiseeeee !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…