Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,012
- 1,969
- Thread starter
-
- #21
Halafu Cha kushangaza watu wamesikitishwa mno na kitendo Cha kumkata uume kuliko kitendo Cha kumuuaSiku 5 mpaka ilipogundulika jana na kukuta mwili uko uchi wa mnyama huku akiwa na majeraha ya kisu tumboni na amekatwa uume wake lkn wameuacha unaninginia na huku akiwa amefungwa kamba kwenye kiti kanzu yake imekutwa imewekwa pembeni haina hata doa la damu
Jr[emoji769]
Kosa la uume ni kuingia kwenye mashimo ya watu, ndiyo maana wakamtoa na uhai😂😂😂
Isije ikawa kukata uume ni mpango mahsusi ili ionekane ameuwawa kwa sababu za mapenzi lengo ikiwa ku divert & misleading uchunguzi. Nawaza tu!
Mwenyezi Mungu ndiye mjuzi zaidi. Amekufa kifo kichungu sana.
Wewe unafaa kuwa mpeleleziIsije ikawa kukata uume ni mpango mahsusi ili ionekane ameuwawa kwa sababu za mapenzi lengo ikiwa ku divert & misleading uchunguzi. Nawaza tu!
Mwenyezi Mungu ndiye mjuzi zaidi. Amekufa kifo kichungu sana.
Huyo mkwepa kodi anawajua ndio maana anashangilia!Mwanamke akikushinda mwache.... sasa kitakachoendelea ni kuwatafuta waliomuua na waliowatuma wakaue.
Damu ya mtu haipotei hivihivi watapatikana tuu
Itakua ladies mkuuHalafu Cha kushangaza watu wamesikitishwa mno na kitendo Cha kumkata uume kuliko kitendo Cha kumuua
The Islamic foundation wanamiliki TV imaan leo itakuwa ni vijembe tu.Angepigwa bisu nyuma ya shingo ningesema jehdina hiyooo
Yani kisoma hujui hata kutafasili picha inashindwa!!
No, sikubaliani na hoja yako Mkuu.Yani kisoma hujui hata kutafasili picha inashindwa!!
Amekatwa chanzo cha kuuawa kwake mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ramli chonganishi hizi.Kuna watu watafurahia hichi kifo
We damn talk about his religion, title ya uzi imetaja dini yake na maudhui ya uzi yametaja dini yake dear bam!Sijui hata umeandika nini bwana mdogo. Hatuongelei dini ya mtu au kabila lake hapa
Tunazungumzia mauaji. Grow up kid!
Bora hata angejilipua aende peponi kabisa sio?
.
Gavana unazungumziaje hili jambo la sheikh ubwabwa?
Una uhakika ndio sababu au basi tu ufurahishe nafsi yako...