Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.
Hakika baadhi ya dhana ni dhambi

Sent using Jamii Forums mobile app
No sio dhambi ni kujaribu ku-suspect,wameua kwa kisu,sasa kwa nini wakate uume then wauache hapo hapo,wangeondoka nao ingeleta picha ingine...hawakutaka kanzu iguswe na damu,(why?)posible pia kwa sababu walimfunga kwenye kiti upo uwezekano walimyesa kwanza.sasa je walimkata uume ndipo wakamuua au walimuua kwenza?
 
MAUBIG,
Ina maana huyu Mkurugenzi tukio limemkuta Dar akapelekwa Dodoma akiwa mzima? Au hata Dar hakufika kumwakilisha Shekh wa Dodoma mbona inachanganya hii. Kwa kweli Polisi wana kazi ngumu sana.
 
Very sad..mkuu mbona unajitia aibu namna hii kuendeshwa na mihemko.Anyone is free kulopoka anachotaka ila haiwezi badil ukwel.N by the way unapata tabuya nn kwa maneno ilogical kama hayo??
Kwann ushughulishwe na akil ndogo kana kwamba na ww bado mtoto kiakili?
Why shouldnt u stick kwenye hoja za msingi?
Bring out the facts achana na diversion ideas za watu ambao usikute hawako even serious na wanachoki comment.

Grow up u dumb ass.
KIFUPI UKWELI LAZIMA USEMWE ACHENI CHUKI NA UBAGUZI USIO NA MSINGI
 
Ina maana huyu Mkurugenzi tukio limemkuta Dar akapelekwa Dodoma akiwa mzima? Au hata Dar hakufika kumwakilisha Shekh wa Dodoma mbona inachanganya hii. Kwa kweli Polisi wana kazi ngumu sana.
Ongezea swala la kanzu kukutwa pembeni haina doa.
Watakua walikuwa wanaheshimu Sana kanzu Hawa wauaji.
Shekh wa Dodoma awekwe kwenye microscope
 
MAUBIG,
Poleni sana. Kama nimeelew vizuri ni kuwa unasema kikao kilikuwa Dar na yeye alikuwa Dar. Lakini akaja kupatikana kauwa ofisini Dodoma. Na makazi yake ni Dodoma. Ndivyo ilivyo?
 
Innalillah wainna ilayh rajiuun,mola ampe kauli thabit amsamehe kwa Yale aliokosea,pole kwa wafiwa.
 
Ila siku 5 auwawe taarifa zisitoke hata kwa familia au aliaga anaenda safari kwa hiyo hawakuwa na wasiwasi
Kwa Waislamu hasa wanaume Kuna tatizo unakuta mtu Ana wake wanne wanaishi marneo tofauti mbali mbali hivyo mwanaume aweza amua Leo atakuwa wapi akitoka kaxini au kwenye biashara zake.Kila mtu asipomuona anadhani atakuwa kwa mke mwingine Kumbe Mara ingine kaenda kwa mchepuko au kafa.

Kuna mmoja aliwahi pata ajali akalazwa hospitali hajitambui alikaa wiki mbili hakuna mke Wala mtoto kutokea kumwangalia Hadi mwenyewe alipozinduka ndio akawataarifu kuwa Yuko hospitali

Kama huyo alikuwa na wake wengi hata hizo siku tano chache.Waislamu waige tu kuoa mie Wakristo kuoa mke mmoja usipoonekana nyumbani hata siku moja tu kazi unayo ripoti zitapelekwa kila msikiti utangaze kidume kilichopoteaa.Ripoti polisi zitakuwepo na kila mortuary picha ya kidume itatolewa kwamba ikitokea hiki kidume chenye picha hii mkakiona kimekufa kinaingia mortuary kifua mbele mtutaarifu hakijaonekana nyumbani toka jana
 
Kwanini wanakimbilia kwenue uume? Watakua walikua wanamtesa awape info au awajibu mambo flani.

Ngoja polisi wafanye uchunguzi waone kama kuna mali imeibiwa, mkataba umesainiwa au simu yako inasemaje?

Pia shule nadhani patakua na camera, inayorecord matukio hapo wataitumia.
Au alitembea na mke wa mtu
 
Kwa Waislamu hasa wanaume Kuna tatizo unakuta mtu Ana wake wanne wanaishi marneo tofautibali mbali hivyo mwanaume aweza amua Leo atakuwa wapi akitoka kaxini au kwenye biashara zake.Kila mtu asipomuona anadhani atakuwa kwa mke mwingine Kumbe Mara ingine kaenda kwa mchepuko au kafa.

Kuna mmoja aliwahi pata ajali akalazwa hospitali hajitambui alikaa wiki mbili hakuna mke Wala mtoto.kutokea kumwangalia Hadi mwenyewe alipozinduka ndio akawataarifu kuwa Yuko hospitali

Kama huyo alikuwa na wake wengi hata hizo siku tano chache.Waislamu waige tu Wakristo usipoonekana nyumbani hata siku moja tu kazi unayo ripoti zitapelekwa kila msikiti utangaze kidume kilichochochea.Ripoti polisi zitakuwepo na kila mortuary picha ya kidume itatolewa kwamba ikitokea hiki kidume chenye picha hii mkakiona kimekufa kinaingia mortuary kifua mbele mtutaarifu hakijaonekana nyumbani toka jana
Maneno ya kitoto.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom