Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.
No sio dhambi ni kujaribu ku-suspect,wameua kwa kisu,sasa kwa nini wakate uume then wauache hapo hapo,wangeondoka nao ingeleta picha ingine...hawakutaka kanzu iguswe na damu,(why?)posible pia kwa sababu walimfunga kwenye kiti upo uwezekano walimyesa kwanza.sasa je walimkata uume ndipo wakamuua au walimuua kwenza?
Hiyo ya muuaji kutotaka kanzu iguswe na damu nayo ni pointi muhimu kwenye upelelezi. Kuna "aina" nyingine ya watu hawawezi kujua umuhimu wa kanzu kutokuguswa na damu.
 
Info?
Kwanini wanakimbilia kwenue uume? Watakua walikua wanamtesa awape info au awajibu mambo flani.

Ngoja polisi wafanye uchunguzi waone kama kuna mali imeibiwa, mkataba umesainiwa au simu yako inasemaje?

Pia shule nadhani patakua na camera, inayorecord matukio hapo wataitumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mauaji ya namna hiyo kuna uwezekano mkubwa mkurugenzi alikuwa mzinifu anatembea na mke au kimada wa mtu
Kama ingekuwa maswala ya siasa au itikadi za kidini asingeuwawa kwa namna hiyo.
 
Sidhani km udini ni sababu,
Jukumu la mke ni kujua mumewe ameshindaje,ameshatoka kazini,amefika sehem husika na hata muda wa kulala utambue mumeo analala.
Uloyasema hapo ni wale wanawake wa kusema Mimi nu mke huyo Mume ataenda na atarudi mwenye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka pia kuna wanaume hawapendi kupigiwa pigiwa simu wala kuulizwa upo wapi mpaka sahizi haujarudi nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 days. Wafanyakazi wake wote walikua likizo hata mesenger?
5 days hata mwanafamilia mmoja hajamjulia khali?
5 days hana mke wala mtoto.
Kama aliaga aliwaambia nitazima simu?
Huyu itakua ilikua kawaida yake kutokua na mawasiliano mazuri na familia,ndugu hata wafanyakazi?
Siku hizi huwezi kukaa masaa 5 bila wife au ndugu wa karibu kujiridhisha ulipo.
Huo uume lazima ndio ulimponza sheikh. Tafuteni mahawara wake .
Walitumia carbon 14 kugundua hizo siku 5? Why not 3, 4 or 6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAUBIG,
Poleni sana. Kama nimeelew vizuri ni kuwa unasema kikao kilikuwa Dar na yeye alikuwa Dar. Lakini akaja kupatikana kauwa ofisini Dodoma. Na makazi yake ni Dodoma. Ndivyo ilivyo?
Inawezekanaje anavotoka aliaga kua anaenda dar,kutoka dar Dom hakutoa taarifa kwamba narudi..bado nam napata tabu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno ya kitoto.
Viongozi wa kiislamu watoe amri kuwa mtu Kama Ana wake zaidi ya mmoja mfano Ana wake wanne awape taarifa wote kwa mpigo alipo Kama hatarudi nyumbani ili kuepusha ukware uliopindukia wa vidume vya kiislamu .Asipoaga wote inabidi kesi ipelekwe haraka msikitini na wanawake wote waombe talaka na wote wagawiwe Mali za hicho kidume kiislamu kikware
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom