Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.
Kafungwa kwenye kiti
Kakatwa uume
Kanzu imevuliwa ikawekwa pembeni..
Kauliwa Ofisini kwake
Maiti kujulikana baada ya siku tano

Mnaosema ni mambo ya wanawake mtakuwa hamjafikiria vizuri... Unless awe ametembea na Mke wa Jack Zoka ama Kipilimba.

Vinginevyo hakuna raia wa kawaida anaweza tekeleza tukio kama hili kisa mke , Kwanza ingekuwa hivyo hata muda wa kumvua kanzu asingekuwa nao

Anyway R. I. P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahusika wa mauaji haya wasakwe ili wafikishwe ktk vyombo vya sheria kwa mauaji haya ya kikatili

Ila siku 5 auwawe taarifa zisitoke hata kwa familia au aliaga anaenda safari kwa hiyo hawakuwa na wasiwasi ila vipi kwenye jengo harufu maana siku hizo mwili ungeshaanza kutoa harufu kali ambayo kwenye hilo jengo wangeshahisi kitu.Mimi nahisi ni chini ya hizo siku 5.

Pole nyingi sana kwa familia, ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu mzito Bwana awafariji sana na kuwapa matumaini kuwa ipo siku wataonana na mpendwa wao Kristo ajapo mara ya pili
Umeingia kiroho sana na sasa umejisahau kabisa. Huyo Kristo wako anarudi kuja kuonana na wasio amini au kulichukua kanisa lake?? Sasa kama ni kulichukua kanisa, huyu mjahidina atakutana nawe wapi?? Au umeshamwacha Yesu na kuyarudia mataapishi
 
Kwenye upelelezi, Simu ni moja ya vitu vya kwanza kuangaliwa
Aliwasiliana na nani na ni nani wa mwisho kuongea nae hapo ndio pa kuanzia



Sent from my iPhone using Tapatalk
Yeah,,mfano tu wanaweza kachukua sample ya simu alizowasiliana nazo,wakacheki phone tower dump,wakajua simu hizo zilikuwa wapi,mda gani kwa let say one week,
Kama zimeenda naye dar na kurudi,movements zitaonekana
 
Alikuwa ana miadi ya nookie aka booty call ofisini kwake, and the woman set him up for murder most foul. Kwa jinsi alivyouawa, hii ni crime of passion na muuaji alikuwa na personal beef naye. Hapa kuna mwanamke na muuaji/wauaji involved.
 
Viongozi wa kiislamu watoe amri kuwa mtu Kama Ana wake zaidi ya mmoja mfano Ana wake wanne awape taarifa wote kwa mpigo alipo Kama hatarudi nyumbani ili kuepusha ukware uliopindukia wa vidume vya kiislamu .Asipoaga wote inabidi kesi ipelekwe haraka msikitini na wanawake wote waombe talaka na wote wagawiwe Mali za hicho kidume kiislamu kikware
nikikutafakari haswa uchangiaji wako sipati jibu mkuu
 
Yeah,,mfano tu wanaweza kachukua sample ya simu alizowasiliana nazo,wakacheki phone tower dump,wakajua simu hizo zilikuwa wapi,mda gani kwa let say one week,
Kama zimeenda naye dar na kurudi,movements zitaonekana

Na hata kama wabaya wake waliwasiliana nae kwa mfano itajulikana kwa urahisi zaidi
Pia fingerprints zitaonekana pia
Ndio maana ni vizuri tukawa na databases za kila mwananchi ili mambo kama Haya yanapotokea inakuwa rahisi kumgundua mhalifu na victim pia


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Rip Rashid Dalai namkumbuka mika ya 80 mwishoni na mwanzoni mwa 90 akiwa afisa wa polisi upande CID mjini Morogoro
Ohoooooo baaasi. Kifo kile ni lazima kiliambatana na hojaji mzito sana. Nilijiuliza sana muuaji wa kawaida akupandishe ofisini akufunge? Akuchome na kisu akukate uueme bila kusahau kuvua kazi. Huwa hawana muda huo wao ni kufanya walichotumwa ili wakapokee ujira. Wenye muda wa kutosha mpaka wapate wanachokitaka ni wale wengine. Ila wakuu mtu ujue kuwa kama umepewa dhamana nzito iheshimu na fuata taratibu. Pole former CID. Tuanzie hapo kujiuliza kama alikuwa na majukumu mengine mazito nje ya CID. Closed.
 
My
Obviously,mtu hawezi kuja ofisini bila mawasiliano simu yake lazima Ina information muhimu
Yes hii clue polisi waweza itumia for investigation

Walinzi pia waweza saidia kwa wageni wore walioingia na kutoka ndani ya siku hizo waweza kuwa shift walikuwa wakibadilishana lakini waweza saidia
 
DNA,ni advanced kidogo,kwani inategemea mhalifu Kama kaacha unywele,au kipisi Cha sigara ,katema mate,au kulitokea purukushani kadondosha damu,etc.
Hapo Sasa ndo vinaweza tumika vifaa ya kukusanya sample kwenye crime scene ,lakini Tena bila DNA database ni useless.
As for fingerprint ,hata Kama Kuna database,Kama wahalifu ni profesheni,wanavaa gloves ama watafanya sanitation ya eneo la tukio kabla hawajaondoka
Fingerprints mtuhumiwa anavaa tu gloves,kwisha kazi,au ansfuta maiti kwa kitambaa chenye maji.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom