Dodoma: Mtu mmoja afariki kwenye vurugu za Sungusungu na vijana wa Bahi

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea vurugu kati ya sungusungu na baadhi ya vijana katika Kijiji cha Mwitikila wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma.

Inadaiwa kuwa vurugu hizo zilizotokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Desemba 18, 2022 zilianza baada ya sungusungu kuanza kukamata vijana wanaodaiwa kuwa wavuta bangi.

Taarifa zinasema kuwa nyumba, gari na duka ambavyo ni vya diwani wa Kata ya Mwitikila, Aloyce Sogozi vimechomwa moto huku nyumba ya mwenyekiti wa kijii ikibomolewa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno amethibitisha kuwepo kwa vurugu hizo na kuahidi kuwa atatoa taarifa baadaye.

MWANANCHI
 
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea vurugu kati ya sungusungu na baadhi ya vijana katika Kijiji cha Mwitikila wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma...
Utasikia "hao vijana walioleta vurugu ni wa CHADEMA"
 
Inadaiwa kuwa vurugu hizo zilizotokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Desemba 18, 2022 zilianza baada ya sungusungu kuanza kukamata vijana wanaodaiwa kuwa wavuta bangi..
Tatizo lilianza kwa sungusungu kukamata watu ovyo. Sungusungu ni watu ambao hawana elimu na wengi darasa 7 na waliofeli form 4 (hawana elimu ya sheria). Anayetakiwa kukamata watu kwa sheria ni polisi na siyo mgambo wala sungusungu
 
Yaani
 
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea vurugu kati ya sungusungu na baadhi ya vijana katika Kijiji cha Mwitikila wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma.

Inadaiwa kuwa vurugu hizo zilizotokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Desemba 18, 2022 zilianza baada ya sungusungu kuanza kukamata vijana wanaodaiwa kuwa wavuta bangi.

Taarifa zinasema kuwa nyumba, gari na duka ambavyo ni vya diwani wa Kata ya Mwitikila, Aloyce Sogozi vimechomwa moto huku nyumba ya mwenyekiti wa kijii ikibomolewa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno amethibitisha kuwepo kwa vurugu hizo na kuahidi kuwa atatoa taarifa baadaye.

MWANANCHI
Na nyie mihanyenye kwa vurugu hamjambo na uvivu!
 
Huko bahi kunaonekana Kuna vijana wa hovyo kabisa. Nakumbuka Kuna wataalamu wa serikali wa ardhi waliwahi kuuawa kikatili wakidhaniwa kwa kitu kisichokuwepo kinachochochewa baadhi ya viongozi wa dini, baadhi ya magazeti, matapeli mbalimbali kiitwacho FREEMASON
 
Tatizo lilianza kwa sungusungu kukamata watu ovyo. Sungusungu ni watu ambao hawana elimu na wengi darasa 7 na waliofeli form 4 (hawana elimu ya sheria). Anayetakiwa kukamata watu kwa sheria ni polisi na siyo mgambo wala sungusungu

Hawana tofauti na polisi ambao wengi wao ni maafisa wa ngazi za juu kabisa.
 
Bangi ihalalishwe tu. Kuifanya haramu kuna madhara mengi kuliko faida.
 
Back
Top Bottom