Utasikia "hao vijana walioleta vurugu ni wa CHADEMA"Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea vurugu kati ya sungusungu na baadhi ya vijana katika Kijiji cha Mwitikila wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma...
Tatizo lilianza kwa sungusungu kukamata watu ovyo. Sungusungu ni watu ambao hawana elimu na wengi darasa 7 na waliofeli form 4 (hawana elimu ya sheria). Anayetakiwa kukamata watu kwa sheria ni polisi na siyo mgambo wala sungusunguInadaiwa kuwa vurugu hizo zilizotokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Desemba 18, 2022 zilianza baada ya sungusungu kuanza kukamata vijana wanaodaiwa kuwa wavuta bangi..
YaaniTatizo lilianza kwa sungusungu kukamata watu ovyo. Sungusungu ni watu ambao hawana elimu na wengi darasa 7 na waliofeli form 4 (hawana elimu ya sheria). Anayetakiwa kukamata watu kwa sheria ni polisi na siyo mgambo wala sungusungu
Na nyie mihanyenye kwa vurugu hamjambo na uvivu!Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea vurugu kati ya sungusungu na baadhi ya vijana katika Kijiji cha Mwitikila wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma.
Inadaiwa kuwa vurugu hizo zilizotokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Desemba 18, 2022 zilianza baada ya sungusungu kuanza kukamata vijana wanaodaiwa kuwa wavuta bangi.
Taarifa zinasema kuwa nyumba, gari na duka ambavyo ni vya diwani wa Kata ya Mwitikila, Aloyce Sogozi vimechomwa moto huku nyumba ya mwenyekiti wa kijii ikibomolewa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno amethibitisha kuwepo kwa vurugu hizo na kuahidi kuwa atatoa taarifa baadaye.
MWANANCHI
Kuna kipindi nipo Meatu, sungusungu walimchapa mama mmoja mpaka nikamhurumia. Nilivyowaangalia wote hawana elimu ya sheria.Yaani
Tatizo lilianza kwa sungusungu kukamata watu ovyo. Sungusungu ni watu ambao hawana elimu na wengi darasa 7 na waliofeli form 4 (hawana elimu ya sheria). Anayetakiwa kukamata watu kwa sheria ni polisi na siyo mgambo wala sungusungu