Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,080
Huyo nina uhakika kabla ya nyuyia lazima atawekwa ndani.Jeshi la Polisi linamtafuta mwanaume mmoja Benito Chalo (23) anayetuhumiwa kujiua na kutoroka.
Jeshi la Polisi linawaomba raia wema kutoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwake.
Sent using Beretta ARX 160
Dah [emoji2960]Tatizo wanalazimisha kunywa K-Vant bila ya kula, wakati wametoka kubeba vyuma ilhali walishinda njaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jukwaa linaruhusu kuandika hivoKajiua na kutoroka, mh.. Hapa mbona mantiki zero
Vigezo vya kisintaksia na kisemantiki havijazingatiwa mkuu soma mara mbil kabla huja weka kichwa na maelez ya mada tajwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoosha kiswahili hujaelewekaJeshi la Polisi linamtafuta mwanaume mmoja Benito Chalo (23) anayetuhumiwa kujiua na kutoroka.
Jeshi la Polisi linawaomba raia wema kutoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwake.
Sent using Beretta ARX 160
Upo shost akeItakua ametoroka na kujiua hawezi kujiua na kutoroka.
Shost kheri ya Christmas na Mwaka mpya
ThanksShost kheri ya Christmas na Mwaka mpya
😂😂
Jeshi la Polisi linamtafuta mwanaume mmoja Benito Chalo (23) anayetuhumiwa kujiua na kutoroka.