Dodoma: Mume ajiua na kutoroka

Dodoma: Mume ajiua na kutoroka

Jeshi la Polisi linamtafuta mwanaume mmoja Benito Chalo (23) anayetuhumiwa kujiua na kutoroka.
Jeshi la Polisi linawaomba raia wema kutoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwake.

Sent using Beretta ARX 160
Njoosha kiswahili hujaeleweka
 
Hiyo ipo sawa, tuhuma ni dhana ambayo inatakiwa kuthibitishwa kisheria, labda alikunywa sumu lakini haikumuua, au alijirusha kutoka juu kwa lengo la kujiua lakini hakufa.

Zaidi ya hapo itakua ni comedy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia walimu wa mirembe nao saa nyingine hufikiria kama wanafunzi wao ili waweze kuwaelewa zaidi namna ya kuwafundisha!
 
Dah. [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Jeshi la Polisi linamtafuta mwanaume mmoja Benito Chalo (23) anayetuhumiwa kujiua na kutoroka.
Jeshi la Polisi linawaomba raia wema kutoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwake.

Sent using Beretta ARX 160

Hapo ni ngumu kumpata huyo...labda wajaribu kucheki na Dr.manyau nyau kwa msaada zaidi
 
Back
Top Bottom