Tunajuwa kuwa STD stands for sexually transmitted disieses.....HIV AIDS ni the same...Lakini kuna maeneo mengi tu duniani ambapo ni sindano za madawa kama heroin zinasambaza virusi hivyo kwa kasi.
Mimi nataka kujuwa kama STD inayojadiliwa hapa inaweza kuenezwa kwa njia ya tofauti zaidi ya sexual intercouse.
Mushi, you are raising a very cogent question, pointed to the heart of the issue here. It is true, isn't it, that HIV can be transmitted by contaminated needles etc. etc., but the pandemic is still called STD. Why, because in the overwhelming majority of cases, the method of transmission is sexual. Same here:
``Trichomas Vaginalis can be acquired by: 1) having penetrative sex (when the penis enters the vagina, anus or mouth) with someone who has the infection 2) sharing moist towels, washcloths, Jacuzzis or hot baths where the parasite can live, although being infected by these non-sexual ways is extremely rare.``
wwwhands-healing.co.uk/Ailmentsnew/trich.htm
Kwamba, maambukizi yasiyohusiana na ngono ni machache, machache mno. Hivyo huwezi kusema hii ni factor, kwamba mabinti wanapata mimba ovyo ovyo mikoa ya kati kwa sababu ya uchafu watu wa huko kutokana na ukosefu wa maji inayowafanya wawashwewashwe na vidudu ukeni na hivyo kutafuta kukunwa na ngono ``ambayo ni dawa ya kitaalam.`` That science is thick-headed, not just junk. Poor hygiene is a cause of a myriad systemic diseases ravaging the country, but not Trichomoniasis, which is a sexually transmitted disease. Mwanjelwa kaongea kituko. Ni hoja hohehahe.
Mwanjelwa alipotowa mfano wa kipindundu nilimwelewa kuwa kipindu pindu ni ugonjwa unaosababishwa na uchafu licha ya kwamba huwa haisemwi hivyo.
Kwa nini unasema haisemwi hivyo? Kipindupindu kinahusiana moja kwa moja na mazingira machafu, na hilo halipingiki. STDs kama
Trichomas vaginalis sio hivyo. Mwanjelwa kahusisha STD moja kwa moja na wanawake wachafu kwa sababu wanaishi mikoa ya kati isiyo na maji. STD na hygiene wapi na wapi?
Je ugonjwa huo ambao inawezekana mabinti wanau mistake na hamu ya kufanya mapenzi unaweza kuwa spread bila muingiliano wa kimwili?
Umetoa wapi hiyo theory ya kuwezekana ugonjwa kuwa mistaken na hamu ya mapenzi? Kwa huyu Mwanjelwa? Huyu ni daktari wa ``kufundwa`` tu. Haya ya elimu ya ngono kayajulia unyagoni au jandoni tu huyu quack! We huoni hata anavyotetea hoja zake bana? Angekuwa mtaalam angejibu maswali kwa matusi kutuambia tukachekiwe kama tuna wadudu sehemu zetu za ukeni, na kwamba tuna mtindio wa akili? Mtaalam anasema tutafute jibu google? Mtaalam angeleta reference ya polymerase chain reaction diagnosis kama kithibitisho cha kwamba mikoa ya kati ni michafu na hivyo wanawake wanawashwa chini na wadudu ambao ``kitaalam dawa yake ni ngono``? Aaaah Mushi, tafadhali bana.
If thats the case then Mwanjelwa nitakuelewa zaidi...Kama sivyo basi nitaelewa ulimaanisha kuwa hayo maji machafu nk ni facilitators na na si transmitors.
Unalazimisha kumuelewa wakati hata hujamsoma vizuri. Mwanjelwa kasema hakuna maji mikoa ya kati, ndio maana watu ni wachafu, na gonjwa limeenea huko. Hajasema kuna maji machafu, which would still be a preposterous idea.
Waungwana sasa naona mtakuwa mmemwelewa Mwanjelwa.
Wewe ndio umemuelewa. Jiongelee mwenyewe.
Usitake watu wakubali kubali theory ya ``kitaalam`` inayorushwa rushwa na mdau wa mtandaoni aliyeitunga sebuleni kwake ikawa peer reviewed na mwenzake ndani humo, ikapitishwa, mtu ambae hata maswali hajibu anaishia kutukana watu eti tukachekiwe sehemu zetu za kike, na kwamba tuna mtindio wa ubongo. Sayansi haiendi hivyo. Mambo ya kisayansi huwa yana kitu kinaitwa peer review ambayo ni sehemu ya mfumo mzima wa keulewa na kujenga ujuzi wa kisayansi, the scientific method. Katika scientific method wataalam wenyewe kwa wenyewe huwa wanapingana na kutakana vidhibiti na kubadilisha msimamo wanapozidiana vithibitisho. Huyu Mwanjelwa haendi hivyo, ni mtaalam pseudo huyu!
Naomba muendelee kutoa darasa.
Aendelee tu, ila ajue mambo ya kisayansi hayafundishwi kama mawaidha ya Imamu au injili ya kweli. Wote tunajadili ishus hapa. Ila atakae sema kuwa yeye ndie masiha uliyeshushwa kuwaletea wana wa Israel ujumbe wa ``utaalam`` fulani then aje na mchongo umenyooka, na uweze kujibu maswali ya wanafunzi tunaotaka kuelewa kabla ya kubugia bugia darasa.