Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Sawa halali, sasa alikuwa ana rudi kwa miguu?? Au kwa Gari, gate anafungua mwenyewe au anafunguliwa?? Hana cctv hapo kwenye gate na gari yake haina cctv
Kawaulize mapolisi ya Dodoma ila uanzie kwa tukio la Lissu
 

Unasema kwamba 😏?
 
Kama ni kweli waliowatuma ni watu wajinga sana kuna mbinu za kisiasa kuzuia watu kama Mbowe lakini si kama hizo za kuwashambulia hizo zinafanyika kwenye nchi zinazoongozwa kidkiteta na hata timing haikuwa sahihi pia hivibvikundi vya green guard, red brigade na vinavyofanana na hivyo vinatakiwa vifutwe mara moja kwani wanaojiunga navyo wengi ni wahalifu walioshindikana ambao hata nidhamu hawana
 
Kwa kweli nami nimecheka tu. yaani hapo plan yao ni kuonyesha laivu hao watu wamemvamia ni wa jpm. Hii nibya kitoto zaidi! Na ukute wamekaa karibu mwezi kupamga kakitu kakitu kakitu ka kitoto.
Mtu kama wewe siku ukija kwenye 18 zangu hutaamini kama ndiye uliyekuwa unachati nae Jamii Forums
 

Wee mwenzetu uko dunia gani?

Soma kwanza vizuri hicho ulichokiandika.
 
Ili upate lazima uwekeze, sasa huo ndio uwekezaji wa Saccos ulivyo
 
Hivi nyie CHADEMA ni chama kikuuu Cha upinzani kweli? mnaonewa mmebaki kulalamika tu wakati mna mtaji wa watu 6m? kwa ujinga huu mtanyanyaswa sana tena sana...mguse MALEMA pale kwa MADIBA uone Moto wake...mguse Raila hapa Kenya....shame on u
 
jingalao,

Mi nina mashakha hapa, kama sio mbinu ya kuwakwepa TAKUKURU basi ata wakishindwa vibaya uchaguzi watuamini mkulu wao alikuwa hospital.
 
Mtu kama wewe siku ukija kwenye 18 zangu hutaamini kama ndiye uliyekuwa unachati nae Jamii Forums
wewe unamjua vizuri huyo jamaa[emoji16][emoji16][emoji16].

kuna kubaka na kubakwa
kukaba na kukabwa

nenda na 1 kichwani bana.


Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Kwani mwanaharakati huru ana akili sawa sawa? Yeye anataka amfurahishe boss hajui ndiyo ana haribu. Ameiingiza CCM çhaka sana huyu mjuba.
 
Auwaye kwa upanga, atauawa kwa upanga.

Simple,

Kama ni kikundi au ni mchezo wa mtu mmoja, siku moja Mungu atawalipa wote wanaojihusisha na maovu.

Mshahara wa dhambi ni mauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siombei itokee,ikitokea FAM akapoteza maisha kutokana na hilo shambulio,wanachama wa chama kile kama kawaida yao watasema FAM alipanga njama auwawe.
 
Wanataka kum Lissu😳😳
 
Ohh my God

Hii nchi Hapana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…