paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Tunataka Amani, Ila naona kuna mtu anataka tusiwe nayo hiyo Amani,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaulize mapolisi ya Dodoma ila uanzie kwa tukio la LissuSawa halali, sasa alikuwa ana rudi kwa miguu?? Au kwa Gari, gate anafungua mwenyewe au anafunguliwa?? Hana cctv hapo kwenye gate na gari yake haina cctv
Wanachadema wakiongozwa na ngurumo wameanza kuvumisha taarifa za uongo kuwa amepigwa so sad,Waliokuwepo maisha club watasema ukweli,jinsi mbowe alivyosukumwa na kimada wake aliemnunua hapa [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]usitumie nguvu nyingi kupotosha ukweli
Jr[emoji769]
Msengee sana, unaweza jiigiza kiasi cha kuvunjwa???Ila vitu vingine jamani, inamaana Mbowe hana bodigadi,yaani anatembea bila walinzi?? Diamond ana bodgad sembuse Kub?? Tuache maigizo basi
Mtu kama wewe siku ukija kwenye 18 zangu hutaamini kama ndiye uliyekuwa unachati nae Jamii ForumsKwa kweli nami nimecheka tu. yaani hapo plan yao ni kuonyesha laivu hao watu wamemvamia ni wa jpm. Hii nibya kitoto zaidi! Na ukute wamekaa karibu mwezi kupamga kakitu kakitu kakitu ka kitoto.
Nani tena huyu au yule king of kwichi kwichi?
Usiku wa Jumapili tarehe 7 June 2020 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe anashambuliwa.
Huku nchi nzima ikisubiri Tundu Antipas Lissu kuzungumza na Taifa kuhusu kutia nia kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku ya Jumatatu June 8, 2020.
Haiwezekana matukio haya yakafuatana. Nani alitaka kutibua utiaji nia wa Mh. Tundu Lissu usifanyike siku inayofuata ?
Walitaka wamtishe nani asitie nia kuomba ridhaa ya kupitishwa na CHADEMA asiwaombe waTanzania wamfikirie hiyo nafasi ya juu kabisa ya uongozi Tanzania.
Nani angenufaika kwa Tundu Antipas Lissu kuamua kuacha kuomba ridhaa ya kuwatumikia wananchi endapo angechaguliwa.
Mwaka huu hakuna usanii wagombea watakuwa real na watatakiwa kuonesha walichokifanya au wanachotaraji kukifanya kwa dataWengine mnapoteza muda ,rais wetu huyu hapaView attachment 1472657
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Ili upate lazima uwekeze, sasa huo ndio uwekezaji wa Saccos ulivyoMuroto hawezi kuwatafuta huenda yeye ndo kawatuma.Muroto kwenye status yake watsup ameweka wimbo wa ccm mbele kwa mbele.Kama wameanza hivyo na sisi tutakamata hata panya wao tuwalipizie,Upendo Gilles Muroto tunajua anapopatukana na sisi tutadeal nao kwa njia hiyo hiyo waoiyoichagua.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,wabaya wetu tutawashtaki kwa Mungu,Mungu asipotusikia ,tutawashtaki kwa shetani.Walianza na akina Mawazo,Ben Saanane ,Lissu na sasa Mbowe ,hatutakubali.
wewe unamjua vizuri huyo jamaa[emoji16][emoji16][emoji16].Mtu kama wewe siku ukija kwenye 18 zangu hutaamini kama ndiye uliyekuwa unachati nae Jamii Forums
Kwani mwanaharakati huru ana akili sawa sawa? Yeye anataka amfurahishe boss hajui ndiyo ana haribu. Ameiingiza CCM çhaka sana huyu mjuba.Kama ni kweli waliowatuma ni watu wajinga sana kuna mbinu za kisiasa kuzuia watu kama Mbowe lakini si kama hizo za kuwashambulia hizo zinafanyika kwenye nchi zinazoongozwa kidkiteta na hata timing haikuwa sahihi pia hivibvikundi vya green guard, red brigade na vinavyofanana na hivyo vinatakiwa vifutwe mara moja kwani wanaojiunga navyo wengi ni wahalifu walioshindikana ambao hata nidhamu hawana
Wanataka kum Lissu😳😳View attachment 1472626
View attachment 1472650
Salaam,
Taarifa nilizozipata hivi punde toka chanzo changu kinanihabarisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman A. Mbowe amevamiwa na kikundi cha watu wasiojulikana akielekea nyumbani kwake usiku huu na kupigwa na wamemuumiza.
Tukio hili limetokea majira ya saa 6-7 usiku.
Mhe. Mbowe amekimbizwa Hospitali ya Ntyuka iliyopo jijini Dodoma.
Kamanda Muroto amesema wamepata taarifa kuwa kavunjwa mguu wa kulia na amelazwa Wodi namba 4 hospitalini hapo. Amesema taarifa zaidi zitafuata
MAONI YANGU:
Mh. Mbowe kuvamiwa na kupigwa eneo la Area D, jijini Dodoma, Mtaa wa Sengia; linalotajwa kuwa na ulinzi wa kutosha, kama ilivyotokea kwa Lissu kunaacha maswali mengi, je, hili linaweza kuwa limechochewa na Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa JMT October 2020? Ni hasira au kitu gani? No one knows.
Bado najiuliza; hivi kama Taifa kwa tabia hizi za kihuni tunaelekea wapi? Hawa wanaojichukulia sheria mikononi kila siku wanafanya hivyo kwa kutumwa na nani? Matendo haya yataendelea kwa viongozi wa upinzani mpaka lini?
We need to wake up, better late than never.
Ohh my GodView attachment 1472626