Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Hii ni habari mbaya sana kwa mustakabali wa siasa za nchi hii chini ya utawala wa Magufuli.
 
Utani juu ya maisha ya watu
FB_IMG_1591678792026.jpeg
 
Very SAD news! Kwakweli kama Taifa tunaelekea kubaya sana! Kama walikuwa kikundi kama jinsi taarifa inavyojieleza, basi ni dhahiri mpango ulishasukwa muda na si ajabu kuna watu wazito kabisa wapo nyuma ya mpango huo! Mh. Mbowe ni kiongozi mkubwa sana katika taifa letu japo hapewi hadhi anayostahili kupewa kwa sababu tu ya misimamo ya wenye mamlaka, hivyo tukio baya kama hili linaichafua mno heshima ya taifa letu mbele ya macho dunia!

Wale wapotoshaji wazoefu najua wanaweza hata kutunga kuwa tukio hilo lilipangwa na CHADEMA wenyewe au kulitokea ugomvi kwenye Bar na hawala wake!....Ni mipango ya hovyo mno katika taifa linalofuata mfumo wa siasa vya vyama vingi!

MUNGU ATUKWAMUE, TUMEFIKA KUBAYA SANA! nA HAO WALIOHUSIKA PAMOJA NA WOTE WALIONYUMA YA MPANGO HUO MWENYEZI MUNGU AKAWALIPE SAWASAWA NA UOVU WAO!
 
Ningependa kuwauliza chadema au Kama watashindwa kujibu Basi itabidi tunasubiri Mbowe mwenyewe aje atupe majibu

Mwenyekiti Mbowe inasemekana kavamiwa na watu na kumjeruhi huku chadema wakidai kuwa ni shambulio la kisiasa kwa sababu walio kuwa Wana mshambulia walikuwa wanasema baadhi ya maneno mfano, Acha kumsema sema vibaya Rais

Kulingana na tukio lilivyo inaonyesha wazi kabisa kuwa chadema hii wamepanga wao ili kutafuta huruma kwa Wananchi

Mbowe anaweza kutuambia muda huo saa sita alikuwa anatoka wapi na walimshambulia akiwa wapi? Na Kama walimshambulia njiani alipokuwa anaelekea kwake Kwanini alisimamisha gari usiku Tena saa sita? Pia huenda mbowe atakuwa alivamiwa akiwa amesimama sababu Sio Rahisi mtu yupo ndani ya gari Tena usiku uweze kumshambulia ki rahis.

Na je Kama Mbowe alishambuliwa wakati amesimama alikuwa anafanya Nini ilo eneo na alikuwa anatoka wapi uo usiku?

Pia nimeona baadhi ya Uzi zinazidi kudhihirisha kuwa chadema hii wamepanga na kutaka kuleta lawama kwa serikali pale wanapo sema Mbowe kavamiwa sehemu yenye ulinzi mbona walinzi hawakuwepo? Hii ni point ya kijinga na fikirishi na inatoa picha ya kuwa chadema huwa wanafanya Mambo Yao kwa kutumia udhaifu wa serikali kwenye maswala ya ulinzi.

Huwa wanatafuta maeneo ambayo kwa namna moja au nyingine lazima kuwe na ulinzi ili wakifanya matukio Yao waje kuhoji serekali ulinzi uko wapi na kuwatupia lawama ili ionekane serekali ndio imepanga na yenyewe ndio ilio toa ulinzi eneo lile

Ili tukio linaonesha dhahir kuwa hata lile la Tundu Lissu lilipangwa
 
Watakamatwa vipi wakati huo ni MPANGO MAALUM.?
Tanzania imefika huko? Ni matumaini yangu tukio hili litachunguzwa mara moja na Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma RPC Muroto na askari wake watahakikisha wahuni hao wanakamatwa mara moja.

Toka maktaba:
May 26, 2020
Kamanda aliapa Dodoma kuwa salama kwa viongozi wote waliohamia hapo jijini kuanzia rais na wakaazi wote wa mji huo Mkuu wa Tanzania

 
Amevamiwa saa 6-7 usiku akirejea kwake, kutokea wapi? Gambe? Au Dom napo foleni imechachamaa?

1-Atakuwa kakutana na vibaka

Au KUB huwa ana kinga dhidi ya vibaka?

2-Itakuwa kisasi kwa zile tuhuma za kudhalilisha wake za watu/viti maalumu?

3-Ni movie nyingine kuelekea uchaguzi mkuu?

4-....
 
Back
Top Bottom