Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wale wa mchana kweupe wa lisu hakuwaona na hao wa usiku ndio kabisaa usitarajieNatarijia MUROTO atawatafuta hao WAHUNI waliompiga MWAMBA.
Si picha mbaya kwa Dodoma tu bali kwa regime nzima.Makao makuu ya nchi Lissu sasa Mbowe, hii inaleta picha mbaya kwa Dodoma
Tanzania imefika huko? Ni matumaini yangu tukio hili litachunguzwa mara moja na Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma RPC Muroto na askari wake watahakikisha wahuni hao wanakamatwa mara moja.
Toka maktaba:
May 26, 2020
Kamanda aliapa Dodoma kuwa salama kwa viongozi wote waliohamia hapo jijini kuanzia rais na wakaazi wote wa mji huo Mkuu wa Tanzania
Haya mzee kauli malingoja tupigie mstari
Lakini kauli zake nyingine mnazishangiliagaUtani juu ya maisha ya watuView attachment 1472667
Mkuu BAK habari za siku nyingi Mkuu? ulipotea humu!So SAD why did Mbowe deserve this? WHY WHY WHY. This is a WAKE UP CALL for all Tanzanians who are FED UP with this CROOK and his PUPPETS