Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dah.. Usiku mnene sana huo mwenyekiti.

Lolote laweza tokea.
 
Uchunguzi wa kina ufanyike Ni ujinga ukiwa mpinzani maisha yako yawe hatarini.
 
Mtu kapigwa saa saba usiku alikua anatoka wapi? Kwanini Serikali ilaumiwe moja kwa moja? Kwanini hajaangalia upande wa pili iwe majambazi au kwa vyovyote pengine kafumwa na mke wa mtu? Yaani kwa watu wenye akili kuna mengi sana yakujiuliza sema kwa sababu za kisiasa mtalaum upande mmoja
 
Acha ufala wewe. Unaandika uharo unasema hoja???
 
Yani Lisu atoke kutangaza nia baada ya masaa machache Mbowe avamiwe?

Tena avamiwe saa saba usiku alikuwa anatoka wapi?
Kuna dalili ya Lisu kutengenezewa tukio la kufunikwa hapa .

pole sana Mh Mbowe.
 
Zero na Div 4 za NECTA sekondari za kata zimeanza kutoka kwenye jamii.
 
Ila vitu vingine jamani, inamaana Mbowe hana bodigadi,yaani anatembea bila walinzi?? Diamond ana bodgad sembuse Kub?? Tuache maigizo basi
Ujue walinzi ni gharama sana...
 
Mkuu kwani mbowe kutembea mwisho saa ngapi?
 
Mkuu kwani mbowe kutembea mwisho saa ngapi?
Na mwisho wa Ulinzi wa serikali ni saa ngapi?
Mtu anaandika ujinga anasema ajibiwe kwa hoja. Inawezekana kweli?
 
Mkuu denooJ, Unafiki wa Waunga Juhudi umejengwa katika ubunifu wa kipumbavu wa kuteua Wanafiki kwenye ulaji kwa njia ya Teuzi.
 
Ohoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Watu wasiojulikana bwana wamerudi tena... hii ni ishara kwamba corona Tz ndo imeisha maana mpaka watubwasiojulikna wamerudi...... Anyway ngoja tusikilize taarifa zaidi
 
Suala la muda siyo hoja dhaifu ukitilia maanani umri wake ni mtu mzima, ana mke, na ana wadhifa mkubwa!! Ni aibu ilioje mume wa mtu kufanya matembezi usiku wa manane ukijirusha (bila shaka na makahaba), mkeo unamwachia nani?
Jombaa, madhaifu yako ya kupenda milupo usiyafananishe na watu mwingine. Watu makini hufanya "networking" nyakati za usiku kwa ajili ya "vital issues".
 
Kupigwa kwa Lisu na Mbowe kutaleta hali mbaya.

Busara za Mbowe naona zimefika mwisho.

Akipona sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…