Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Kitendo Cha kushambuliwa si kizuri na hakina itikadi, tunamuombea apone haraka na kurudi kwenye Majukumu yake. Lakini niwakumbushe CHADEMA kuwa, Moyo wa utu na huruma uwe kwenu pia, maana yakiwapata CCM na wengine walio kinyume na nyie mnashangilia Sana.

TUJIKUMBUSHE
1.Uzushi wa Rais kwamba anaumwa sana, Uvumi huo ulishangiliwa mno na wana CDM ikiwemo Viongozi kupost wakishangilia.

2. Wabunge wa CCM kufariki, mlikuwa mkishangilia eti Corona itawamaliza, kupitia watu wenu kama kigogo, mkawa mnaombea wafe zaidi,mkawazushia kufa/ kuumwa Viongozi mbalimbali.Mpaka mkawanyanyapaa mkatoka Bungeni.

3. Kushambuliwa kwa WAITARA, Naibu Waziri TAMISEMI alizongwa na wananchi, kutaka kumshambulia. Kama kawaida mlishangilia kwa dhihaka kubwa. Hiyo ni mifano michache tu.

Hatuafiki kushambuliwa kwa MBOWE Maana nje ya siasa ni binadamu na Mzazi, ila hili liwakumbushe kuwa MABAYA humpata yeyote.

Acheni SIASA, Vyombo vitatupa ripoti kama shambulizi limekuwa staged kupata mileage za kisiasa hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu Tutajua.
 
Chadema acheni ukondoo mnayepambana naye ni shetani msifikiri kuna siku atabadilika.Km mmeshindwaa mbwai na iwe mbwai achen siasa mwacheni afanye anavyotaka maana hapa wanawachokoza waone reaction.Haya mambo ya kihuni yanafanywa makusudi....Pa2trobasiiiii
 
chadema hizi kiki zenu za kijinga zitakuja kuwapeleka pabaya pimbi nyie...

mtu mzimaa saa sita saa saba ulikua unatoka club au ?

ulikua unatembea kwa miguu ?

mafala nyie...
Wewe msukuma vipi, Club gani wanatoka saa6?
 
  1. Mume wa mtu unaamua kutembea usiku wa manane kwenda kujirusha mke wako unakuwa umemwachia nani? Wewe mh Mbowe kulikoni?
  2. Kwa mujibu wa maelezo wale watu waliomshambulua Mbowe walikuwa pale pale nyumbani kwake! Ameshambuliwa maeneo ya nyumbani kwake!! Inawezekana kabisa wale watu walikuwa ndani ya nyumba yake wakifanya yao wakati yeye ametoka!! Ninasema inawezekana! sijasema walikuwa nyumbani kwake! Maana naona wengine macho yamewatoka!! Ndiyo! wewe unamwacha mkeo unaenda kujirusha na yeye akiamua kuita watu wa kumrusha vipi hapo!!
  3. Sasa inawezekana wakati hao wageni wake wanatoka na yeye ndo anaingia! Wakaona wajihami na kumwumiza! Pole lakini acha tabia ya kutoka peke yako kana kwamba na bachala!!
  4. Yangu hayo tu!
 
Mbona unaleta siasa badala ya kuweka details za hilo shambulizi??

Walitaka kum-tundu lissu, au??
 
Saa tisa za usiku alikuwa anatoka wapi chairman
Mnyaka kafafanua kuwa ilikuwa majira ya saa sita kuelekea saaa saba ....na hata kama ingekua asubuhi ..haihalalishi uhalifu ....viongozi wengi wa kisiasa sasa hivi wanakesha kupanga mipango yao ya uchaguzi ...hata pale white house CCM muda kama huu wanafanya kazi masaa 24 .....
Rais mwenyewe analalamika kila siku kuwa halali .....kwa kiongozi yeyete issue ya kukesha na vikao ni jambo la kawaida
 
Tanzania’s leader of opposition in parliament attacked, beaten up, injured
9th June 2020
A group of unknown people have assailed, beaten up and injured the Leader of Opposition in Parliament in Tanzania, Freeman Mbowe, at his residence in Area D, Dodoma.

According to preliminary reports from Dodoma, Mbowe met his assailants on the steps of his flat this night, June 7, 2020., shortly before entering his residence.

“He didn’t manage to enter. They dragged him, threw him to the ground, and beat him up severely, warning him against criticising the president. Before neighbours came to his rescue, the damage has been done. He is in severe pain. One his legs has been badly twisted, and he fears it is broken,” a family source told SAUTI KUBWA. He was rushed to Benjamin William Mkapa Hospital.

Mbowe and other Members of Parliament are attending a parliamentary budget session in Dodoma City, two months before this year’s general election.

Under President Magufuli, Tanzania has been characterised by brutal and demagogic politics since he came to power in 2015. In September 2017, the opposition chief whip, Tundu Lissu, miraculously survived an assassination attempt by unknown people who shot at his car and injured him severely at his residence in Dodoma.

Source : Tanzania's leader of opposition in parliament attacked, beaten up, injured - Sauti Kubwa
"Auwaye kwa upanga, naye atauwawa kwa upnga". GOD is our only healer, we wish Hon. Mbowe quick recovery.
 
  1. Mume wa mtu unaamua kutembea usiku wa manane kwenda kujirusha mke wako unakuwa umemwachia nani? Wewe mh Mbowe kulikoni?
  2. Kwa mujibu wa maelezo wale watu waliomshambulua Mbowe walikuwa pale pale nyumbani kwake! Ameshambuliwa maeneo ya nyumbani kwake!! Inawezekana kabisa wale watu walikuwa ndani ya nyumba yake wakifanya yao wakati yeye ametoka!! Ninasema inawezekana! sijasema walikuwa nyumbani kwake! Maana naona wengine macho yamewatoka!! Ndiyo! wewe unamwacha mkeo unaenda kujirusha na yeye akiamua kuita watu wa kumrusha vipi hapo!!
  3. Sasa inawezekana wakati hao wageni wake wanatoka na yeye ndo anaingia! Wakaona wajihami na kumwumiza! Pole lakini acha tabia ya kutoka peke yako kana kwamba na bachala!!
  4. Yangu hayo tu!
Taahira mkubwa wewe.
 
Ndugu watanzania.
Hii ina lengo lakuwatoa watu kwenye Hotuba ya Tundu Lissu.
 
Mkuu nawe tumia akili hata kama ana mlinzi, wakitokea hao vibaka 10 Huyo mlinzi 1 atafanya nini? Kuhusu swala la muda nayo ni hoja dhaifu.
Suala la muda siyo hoja dhaifu ukitilia maanani umri wake ni mtu mzima, ana mke, na ana wadhifa mkubwa!! Ni aibu ilioje mume wa mtu kufanya matembezi usiku wa manane ukijirusha (bila shaka na makahaba), mkeo unamwachia nani?
 
Suala la muda siyo hoja dhaifu ukitilia maanani umri wake ni mtu mzima, ana mke, na ana wadhifa mkubwa!! Ni aibu ilioje mume wa mtu kufanya matembezi usiku wa manane ukijirusha (bila shaka na makahaba), mkeo unamwachia nani?
Kwa Wasio kuwa na future ndio hulala mapema!
 
Kuna mambo yanakasirisha sana
Mbowe amekua mtu wa busara busara nyiiiiingi hata mahali zisipohitajika/anapoonewa tofauti kabisa na Kina Lema na yule mbunge wa kule Nyamongo ambao wao ni watu wamisimamo kama ni mbaya iwe mbaya tu.

Sasa acha Mbowe apewe kichapo kidogo akitoka hosp. Nadhani atapnuguza zile busara busara zake ambazo hua zinapelekea kuonewa bila mpango.
 
Taahira mkubwa wewe.
Tumia hoja kujibu hoja, usitumie matusi! Usiku wa manane mume wa mtu unatembea usiku (shughuli za usiku zinaekeweka), mkeo unamwachia nani? Je mkeo atafurahia tabia hiyo? Ukitilia maanani mtu aliyekuwa anamiliki klabu ya usiku bilicanas! Si alikuwa mahali penye shughuli kama ya bilicanas tu!!
Basi tufanye huko alienda kupanga mikakati ya kushinda uchaguzi mkuu ujao!!!!
 
Sasa umeongeza kuwa ni "green guards"... tuwe waangalifu... tusije kushindwa kupata ukweli kwa sababu mawazo yetu tayari yameanza kuelekezwa sehemu fulani..
Kama nia yetu ni kumsaka mtuhumiwa iweje uutake uangalifu ikitajwa ccm tu?

Mnatumia vibaya ushawishi wenu. Mzee unachangia pakubwa sana kuharibu future ya hii nchi.

Hakuna mtu atakuja kuwathamini angalau kuwatambua wanao hata uwe umetumika vipi.
 
Yani Lisu atoke kutangaza nia baada ya masaa machache Mbowe avamiwe?

Tena avamiwe saa saba usiku alikuwa anatoka wapi?
Kuna dalili ya Lisu kutengenezewa tukio la kufunikwa hapa .

pole sana Mh Mbowe.
 
Back
Top Bottom