Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Hiki kipindi usitembee bila jambia , hakuna kucheka na kima yoyote wa CCM.
 
Tunajua Mbowe ndio mwenye maamuzi nani agombee Urais nani asigombee
Inawezekana moja ya wagombea aliyetangaza kutaka kugombea Urais kwa kutumia wapambe wake walitaka wampoteze chairman ?

Hii dhambi haitamuacha salama huyu mtangaza nia, mbona chairman ni mtu hana tatizo
Watu wa Kilimanjaro amkeni chama kinataka kuporwa kihamie mkoa mwingine

Jeshi la polisi chunguzeni hili
Kubwa jinga [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Huu uzi ndiyo yale huwa wanasema mchawi huwa analia msibani kuliko wafiwa wenyewe
 
Kwa hili la kushambulia upinzani sina uhakika km jiwe anafanya vizuri kwenye uongozi wake.Hana ubavu wa kusimama kifua mbele!
 
Hauna tofauti yoyote ile.
Na possibly hujapata maelezo ya kutosha.
Umezoea kuandika uharo tu
 
Hili andiko halina afya na limeandikwa kwa kukurupuka sana!
 
Hivi nyie CHADEMA ni chama kikuuu Cha upinzani kweli? mnaonewa mmebaki kulalamika tu wakati mna mtaji wa watu 6m? kwa ujinga huu mtanyanyaswa sana tena sana...mguse MALEMA pale kwa MADIBA uone Moto wake...mguse Raila hapa Kenya....shame on u
Mfumo wa kisiasa kwenye nchi ukifa jua ni mwanzo wa mfumo wa uasi au rebellion kuibuka ... hivi vyama vinaungwa mkono na wanajeshi na maafisa wengine wengine ni wastaafu ... ambao wakiona hakuna uwezekano wa mfumo halali wa kidemokrasia watalazimisha demokrasia kwa nguvu .. hivi ndio namna nchi nyingi zimeingia kwenye machafuko ...

Ukizingumzia maendeleo ya vitu hatufikii hata asilimia 2% ya ambacho ghadafi alikifanya ....lakini alizalisha uasi kwa ajili ya kuminya tu uhuru wa kujieleza

Time will tell
 
Mmh hizi si dalili nzuri kabisa kuelekea uchaguzi mkuu. Njia zote zimeshindikana sasa hii ya kuumizana ndio silaha yao ya mwisho iliyobaki. KUKICHWA KUTAMBAZUKA. WAKATI SI MILELE.

Jr[emoji769]
Katika siasa kunamatukio mengi ya uhongouhongo na unafiki mwingi

Ila huwa naimani ukitendewa ubaya jua utalipizwa kwa namna nyingine
 
Kama kawaida wachawi wameanza kuleta nyuzi za kuonesha chadema ndiyo wanahusika kama ilivyo kuwa kwa Lissu
 
Tunajua Mbowe ndio mwenye maamuzi nani agombee Urais nani asigombee
Inawezekana moja ya wagombea aliyetangaza kutaka kugombea Urais kwa kutumia wapambe wake walitaka wampoteze chairman ?

Hii dhambi haitamuacha salama huyu mtangaza nia, mbona chairman ni mtu hana tatizo
Watu wa Kilimanjaro amkeni chama kinataka kuporwa kihamie mkoa mwingine

Jeshi la polisi chunguzeni hili

Acha kujenga ukabila ... kama ambavyo Gwajima kaongea hadharani kuanzisha jeshi la kikabila [interahamwe] kumlinda kiongozi na kudhuru wapinzani
 
Saa sita usiku mbowe alikua wapi na Kwann alisimamisha gar?

Usipokuwa makini huu Uzi wako uliouanzisha na unaowataka Moderators wasiuunganishe unaweza Kukufanya uonekanae ni Mpumbavu mkubwa.
 
Kwa Mujibu wa Katiba ya TANZANIA ibara ya 8 , 9 na 147 na 148 inazungumzia kuhusu Malamaka ya SERIKALI yanatokana na Wananchi na waliokabidhiwa mamlaka wanawajibika kuwalinda RAIA na Mali zao; Ni wajibu wa Vyombo vya DOLA kuhakikisha kila mtu anakuwa HURU na anaweza kufanya shughuli zake bila woga wala wasiwasi;

Tunaamini Vyombo vya DOLA vitawakamata hao wahuni wanaotaka kuichafua image na taswira nzuri ya Nchi yetu hasa tunapoelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020;

Tanzania imejengwa juu ya Msingi wa UJAMAA na KUJITEGEMEA na misingi ya CCM inasema kuwa binadamu wote ni SAWA;

hatuwezi kuruhusu wahuni wachache waichafua taswira yetu na NCHI yetu;
Mungu amponye Mhe Mbowe ambaye ni Mbunge wa Hai,KUB na Mkiti wa CHADEMA;

Patrick
 
IPO siku watakuja mchana kweupe kukili makosa yao Mungu ni mwema kila wakati
 
Back
Top Bottom