Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Siko mbali na maoni yako, timing ya shambulio inaleta speculations, pengine walio mshambulia Mbowe wamefanya hivyo leo ili watu wasipate muda wa kusoma na kutafakari hotuba ya TL na kuijadili kwa upana badala yake waongelee tukio la Mbowe kushambuliwa wana divert attention ya watu.

Dhana ya pili,TL ambaye ametangaza nia akiwa ughaibuni baada ya kushambuliwa na wasio julikana ,aone kwamba bado Tanzania sio salama kwa hiyo badala aje kupigania nafac ya kugombea Urais aingiwe uoga na kubaki huko huko wengine wapite bila upinzani mkubwa.

Dhana nyingine ni juzi juzi viongozi wa umoja wa vijana walio nukuliwa wakihamasisha vijana wa chama chao kutowaacha Zito/Mbowe wakidunda mitaani kwa kuwa "wana hatarisha usalama wa nchi" viongozi hawajawahi kuitwa kukemewa wala kuhojiwa! Hii ni hatari sana kwa ustawi wa nchi yetu.
 
Du hii imekuwa staged ili ionekane kapigwa kwa kulipiza kisasi wale waliofukuzwa CHADEMA but something fishy is behind the scene
 
INA SIKITISHA.

Kama kweli Mh Mbowe kavamiwa kutakuwa na maswali mengi ya kujiuliza.

Na kila mmoja wetu anayo yake anayojiuliza. Si rahisi kuwa na majibu ya moja kwa moja ila tunatarajia kupata majibu sahihi na kwa wakati toka kwa wenye dhamana.

Katika hili nisingependa kuona propaganda za kisiasa ila ukweli na ukweli usio na shaka.
Inawezekana ikaonekana jambo jepesi lakini linayo madhara si ya muda mfupi ila endelevu.

Tusijijengee makovu ambayo kama nchi hatukuwa nayo.
 
Zitto alisema tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni wa madaraka
 
Hili halikubaliki kabisa Mwamba ni
Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Ni Mme wa watoto anafamilia
Ni Mtz na raia halali
Hata kama alikuwa anajisanitize hadi usiku wa manane ni Halali
Hata kama alikuwa amechukua wa mtu hana kipimio maana hawatembei na cheti cha ndoa ,pete zenyewe wanavua ni UHUNI KUMGOMBEA kama Mpira kisa Demu na kujeruhi
Polisi wafanyeni kazi kuwapata wahuni hao nchi haiko kwenye Kafyuu wala Lockdown mjinga Covid 19 tulimsend off tunajikinga
 
Siko mbali na maoni yako, timing ya shambulio inaleta speculations, pengine walio mshambulia Mbowe wamefanya hivyo leo ili watu wasipate muda wa kusoma na kutafakari hotuba ya TL na kuijadili kwa upana badala yake waongelee tukio la Mbowe kushambuliwa wana divert attention ya watu.

Dhana ya pili,TL ambaye ametangaza nia akiwa ughaibuni baada ya kushambuliwa na wasio julikana ,aone kwamba bado Tanzania sio salama kwa hiyo badala aje kupigania nafac ya kugombea Urais aingiwe uoga na kubaki huko huko wengine wapite bila upinzani mkubwa.

Dhana nyingine ni juzi juzi viongozi wa umoja wa vijana walio nukuliwa wakihamasisha vijana wa chama chao kutowaacha Zito/Mbowe wakidunda mitaani kwa kuwa "wana hatarisha usalama wa nchi" viongozi hawajawahi kuitwa kukemewa wala kuhojiwa! Hii ni hatari sana kwa ustawi wa nchi yetu.

Nasikitika kuona mpaka sasa Maoni yako haya bado Likes lukuki hujazipata Ndugu kwani umeandika vizuri, vyema na ni ukweli mtupu. Heko mno.
 
Ripoti kutoka kwa kamanda Muroto zinasema , Watu watatu wasiojulikana wamemvamia mheshimiwa Freeman Mbowe akiwa anaingia nyumbani kwake Dodoma, na kumjeruhi vibaya sehemu mbali mbali za mwili wake, ikiwemo kumvunja mguu wake wa kulia..
Amekimbizwa hospitali ambapo amelazwa na anaendelea na matibabu
 
Najaribu kuwaza kwa mapana, State organs zinaweza kuwa zinahusika,lakini pia hata security organs za nchi moja jirani ambayo tumekuwa tunasuguana nayo,inaweza ikahusika ili ku destabilize nchi.
 
Ni wakati wa kutoka usingizini na ile slogan ya jino kwa jino nafikiri ina maana sana kipindi hiki
Sasa hivi kama mbwai na iwe mbwai.
unajua ukiwa zuzu hii ccm inakuzuzuzisha zaidi
 
Kume kucha, hiyo ndiyo siraha ya mwisho iliyobakia, dola.
 
Kwa Mujibu wa Katiba ya TANZANIA ibara ya 8 , 9 na 153 inazungumzia kuhusu Malamaka ya SERIKALI yanatokana na Wananchi na waliokabidhiwa mamlaka wanawajibika kuwalinda RAIA na Mali zao; Ni wajibu wa Vyombo vya DOLA kuhakikisha kila mtu anakuwa HURU na anaweza kufanya shughuli zake bila woga wala wasiwasi;

Tunaamini Vyombo vya DOLA vitawakamata hao wahuni wanaotaka kuichafua image na taswira nzuri ya Nchi yetu hasa tunapoelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020;

Tanzania imejengwa juu ya Msingi wa UJAMAA na KUJITEGEMEA na misingi ya CCM inasema kuwa binadamu wote ni SAWA;

hatuwezi kuruhusu wahuni wachache waichafua taswira yetu na NCHI yetu;
Mungu amponye Mhe Mbowe ambaye ni Mbunge wa Hai,KUB na Mkiti wa CHADEMA;

Patrick
Makaratas imeandikikwa hivyo..Lakin Makaratas ni watu?Watu wanachana karatasi wanatumia mbongo zao kulinda maslahi yao..
 
Hawa jamaa wanapenda sana kick
chadema hizi kiki zenu za kijinga zitakuja kuwapeleka pabaya pimbi nyie...

mtu mzimaa saa sita saa saba ulikua unatoka club au ?

ulikua unatembea kwa miguu ?

mafala nyie...
 
Iddi Amin alifia Saudia akiwa mpweke. Alikuwa na kilo 200.

Benito Mussolini alitundikwa miguu juu baada ya kuuwawa.

Nicolai wa Romania alitwangwa risasi wakati anatoroka huku walinzi wake wakiwa kimya.

Stalin alikutwa kafa akiwa amezungukwa na lindi la mkojo wake.

Hitler alijitwanga risasi ili asikamatwe.

Aliyeamuru mashammbulizi dhidi ya Lissu na Mbowe ni mtu huyo huyo. Hataishi milele.
 
Ahaaa Chadema kunawaka....Lissu arudisha kisasi. Hiki chama hakitakuja kuwa na msimamo kamwe na kitakufa kama bloody NCCR -Mageuzi na viongozi wake.
 
Back
Top Bottom