Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

IMG-20200609-WA0008.jpg
 
Tunajua Mbowe ndio mwenye maamuzi nani agombee Urais nani asigombee
Inawezekana moja ya wagombea aliyetangaza kutaka kugombea Urais kwa kutumia wapambe wake walitaka wampoteze chairman ?

Hii dhambi haitamuacha salama huyu mtangaza nia, mbona chairman ni mtu hana tatizo
Watu wa Kilimanjaro amkeni chama kinataka kuporwa kihamie mkoa mwingine

Jeshi la polisi chunguzeni hili
 
Hii Tunaweza Kuiita Mtizamo wa mleta uzi..."Perception". let us wait and not speculate, the professional report from reliable sources will be out soon is only a matter of time. Tuwe wapole kidogo...
 
Wazo zuri sana
Kama ni kweli waliowatuma ni watu wajinga sana kuna mbinu za kisiasa kuzuia watu kama Mbowe lakini si kama hizo za kuwashambulia hizo zinafanyika kwenye nchi zinazoongozwa kidkiteta na hata timing haikuwa sahihi pia hivibvikundi vya green guard, red brigade na vinavyofanana na hivyo vinatakiwa vifutwe mara moja kwani wanaojiunga navyo wengi ni wahalifu walioshindikana ambao hata nidhamu hawana
 
Na ndo maana WANATAKA KUJIONGEZEA KINGA YA KUTOKUSHTAKIWA WAKIONDOKA.
Mkuu try to think beyond the box! Hii serikali inaongozwa na Magufuli na kwa cheo chake kama amiri jeshi wa nchi vyombo vyote vya dola vipo chini yake, hivyo kunapotokea hali ya kutowepo na AMANI kwa wananchi, yeye hawezi kujitenga na lawama! Pia ni Mwenyekiti wa CCM taifa , hivyo kama mipango hii miovu inapangwa na CCM , hapa anachomokaje! Tunajuwa hawezi kuhusika moja kwa moja lakini kwa nyadhifa zake ndiye anapaswa kujenga mazingira ya kuhakikisha matukio kama haya hayatokei au yanakomeshwa!
 
Duuh yaani saivi wenye vyeo na madaraka Wana jeuri na majibu ya ovyo sana sijui hiki kirusi kimetokea wapi

Yaani ukisikiliza kila mwenye cheo anavyojibu maswali au hoja muhumi utaishia kusikia kejeli,Tambo na kujidai dai hivi kana.kwamba wao ndio wenye hatimiliki na kila kitu kwenye hii milele na kwamba wewe inayehoji Ni kinyangalika tu yaani wewe Ni ushuzi tu huna maana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Daah maskini hii nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe KUB huwa anamsema vibaya JPM? Huwa hakosoi kwa staha?
Ndiyo ujumbe aliyopewa Mbowe na watesi wake Jana. Kazi ya upinzani ni kuikosoa serikali lakini kwa wengine inaelekea kukosolewa kwao ni kusemwa vibaya.
 
Utani kama huu sio mzuri ,

Muroto: mbowe amekanyagwa kanyagwa na anaendelea vizuri.

Ndugu ukiiangalia tu hiyo Sura ya huyo Kamanda jinsi ilivyo na Muonekano wa Kiukatili na Roho Mbaya ulitegemea awe na Lugha nyepesi Kwako?
 
Mbowe ndio wafaransa wainata "Maison Mere" ni kama ngome, mtu anayeweka watu pamoja. Haijalishi kama ni wasomi au darasa la 7. Bila Mbowe Kina Bulaya, Sugu na wengine hawawezi kukaa pamoja.

Tungoje uchunguzi wa Police lakini ni very bad timing.
 
Back
Top Bottom