mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Wanzinzi utawajua tu! Wanajua sana kuteteana!! Mume wa mtu usiku wa manane ndo unarudi halafu unategemea tukuamini? Mtu mwenyewe ni mtu wa bilicanas!! Usitufanye sisi kama watoto wadogo!!Mawazo mafupi kama ulrefu wa nzi
View attachment 1472626
View attachment 1472650
Salaam,
Taarifa nilizozipata hivi punde toka chanzo changu kinanihabarisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman A. Mbowe amevamiwa na kikundi cha watu wasiojulikana akielekea nyumbani kwake usiku huu na kupigwa na wamemuumiza.
Tukio hili limetokea majira ya saa 6-7 usiku.
Mhe. Mbowe amekimbizwa Hospitali ya Ntyuka iliyopo jijini Dodoma.
Kamanda Muroto amesema wamepata taarifa kuwa kavunjwa mguu wa kulia na amelazwa Wodi namba 4 hospitalini hapo. Amesema taarifa zaidi zitafuata
MAONI YANGU:
Mhe. Mbowe kuvamiwa na kupigwa eneo la Area D, jijini Dodoma, Mtaa wa Sengia; linalotajwa kuwa na ulinzi wa kutosha, kama ilivyotokea kwa Lissu kunaacha maswali mengi, je, hili linaweza kuwa limechochewa na Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa JMT October 2020? Ni hasira au kitu gani? No one knows.
Bado najiuliza; hivi kama Taifa kwa tabia hizi za kihuni tunaelekea wapi? Hawa wanaojichukulia sheria mikononi kila siku wanafanya hivyo kwa kutumwa na nani? Matendo haya yataendelea kwa viongozi wa upinzani mpaka lini?
We need to wake up, better late than never.
Ah!Machali!
Ilikuwaje usiku huo KUB awe peke Yake? Mabaunsa walikuwa wapi? Huwa tunaona mchana anakuwa na mabaunsa wengine wakining'inia kwenye milango.ya gari. Au ndo yale Mambo alisema mkuu wa wilaya Katambi?Dah.. Usiku mnene sana huo mwenyekiti.
Lolote laweza tokea.
Ila vitu vingine jamani, inamaana Mbowe hana bodigadi,yaani anatembea bila walinzi?? Diamond ana bodgad sembuse Kub?? Tuache maigizo basi
Diamond mtoto wa juzi awe na walinzi, huyu mzee anayepigana kuongoza nchi akose ulinzi, serious hivi ruzuku wanafanyia kazi gani? Kiongozi mkubwa wa chama kuwa na ulinzi ni moja ya maendeleo.Ujue walinzi ni gharama sana...
Saa tisa za usiku alikuwa anatoka wapi chairman
genge la ccm linatafuta kwa uudi na uvumba kubaki ikulu baada ya kuishiwa punzi na hoja sasa wamebaki kuwatesa na kuwaua wapinzania wao wa kisiasaHapana mkuu,nazungumzia genge la wahuni chadema kuitafuta ikulu kwa udi na uvumba
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mbona maelezo yamenyooka au uwezo wako ni kusoma vichwa vya habari tu?
Magufuli ndio Rais aliyeshindwa na ni Rais wa miaka mitano tu .
Mkuu hata wewe unarukia kwenye HITIMISHO? Hivi siasa ndio tumezipa kipaumbele kuliko ubongo wetu na Imani zetu? Hata tukashindwa kujiuliza matukio machache tu yaliyopita Mfano wa lile la Makamu Mwenyekiti Bara Philip Mangula kupewa sumu tena ndani ya kikao cha CCM?Mmh hizi si dalili nzuri kabisa kuelekea uchaguzi mkuu. Njia zote zimeshindikana sasa hii ya kuumizana ndio silaha yao ya mwisho iliyobaki. KUKICHWA KUTAMBAZUKA. WAKATI SI MILELE.
Jr[emoji769]
Seriously,unatembea usiku mnene na hauwezi kujihakikishia ulinzi wako?,,Kuna Katazo la kutembea usiku nchi hii?