Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Akiwatuma wahuni na yeye atatumiwa wahuni siku mojaHii ni kuonyesha kuwa jiwe kaishiwa imebaki kuwaumiza na kuwaua wapinzani, lakini wakae wakijua kila ovu litalipwa kwa wakati wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwatuma wahuni na yeye atatumiwa wahuni siku mojaHii ni kuonyesha kuwa jiwe kaishiwa imebaki kuwaumiza na kuwaua wapinzani, lakini wakae wakijua kila ovu litalipwa kwa wakati wake
Sure mkuu
Na kwa hali ya sasa ya CDM na mbowe ni ya kumuonea huruma zaidi kuliko haya
Lakini pia KUB hana ulinzi? Wako wapi wale walinzi wake??
Bado mtu ambaye haipendi CCM anaweza kabisa kufanya haya ili lawama ziende CCM, hii kitaalaamu wanaita 'third part' ambaye anafanya jambo akijua kabisa watalaumiwa watu fulani
Wameanza ile Mbinu yao ya kujiteka kutafuta huruma ya Wapiga kura. Uzuri tuliokuwa Chadema tunaifahamu hii mbinu ya kutafuta kiki za kisiasa. Mbowe amejiteka. Acheni ujinga wenu wa kuyasumbua masikio yetu.
Na endeleeni kujiombea kujiteka, One day Alshab babu watawafanyia kweli mbwea nyie ambao hamjui madhara ya hiyo mbinu ya kisenge
Unaongea kwa jicho la nyuma nini ,jaribu kujivunja mguu mwenyewe tuoneKajivunja mwenyewe mguu, au sio!? Sawa sawa. Endeleenj kujenga chuki. Damu ya Akwilina mliyomwaga haijatosha.
Akili za lumumba ni hatari.unaongea kwa jicho la nyuma nini ,jaribu kujivunja mguu mwenyewe tuone
Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe. Seriously Lisu awe Rais?Nianze Kwanza kwa Kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Familia yake, Wapiga Kura wake, Wanachama wake wa CHADEMA, Wanasiasa mbalimbali, Wabunge na Sisi Watanzania wa kawaida tusioegemea upande wowote ule (Mzukulu) nikiwemo kwa kilichotokea. Naamini Mwenyezi Mungu ataupigania Uhai wake ila kwa waliohusika Maulana / Mola atawajibu kwa Adhabu Kali kabisa.
Jana nilipoziona tu zile Nondo Kali na zenye Mashiko za Mheshimiwa Tundu Lissu nilihisi kabisa kuwa ili kuwapoteza Watu na Kuyahamisha Mawazo yao katika Kukijadili au Kuyajadili yale aliyoyaandika ambayo yote ni mazuri basi ni lazima tu Spinning ya Hatari ingefanyika. Kilichofanyika ni kutaka Kufunika alichokifanya Lissu jana kuanzia leo Watanzania wote tujikite zaidi katika Kuzungumzia hili lililomkuta Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Na Kiutaalam zaidi ili kuonyesha kuwa hawa Wahuni wanaolelewa vibaya na walijipanga ni kwamba itakuwa walijipanga tokea pale Taarifa za Mheshimiwa Tundu Lissu aliposema kuwa atazungumza na Watanzania hivyo hata Wao walishajipanga na walipoona Jana Mheshimiwa Tundu Lissu katoa Nondo ile Kabambe basi na Wao wakaamua Kulitekeleza hilo walilolitekeleza.
Kuna Mmoja namuheshimu sana humu ila sasa nitaanza Kumdharau amesema kuwa Mheshimiwa Mbowe Kavamiwa na Majambazi akiwa na Kimada aliyemnunua. Ameshindwa kujua ya kwamba Siku zote Mbinu za Kijasusi huwa zinaratibiwa vyema na Kimkakati zaidi kwa kuwahusisha Magenge ya Wahuni ili hata likija Kufanikiwa basi hao Majasusi wasijulikane moja kwa moja kama ni Wao.
Kwa hali ilivyo na kwa uelewa wangu mdogo sana wa Masuala ya Usalama ( Ujasusi ) ila wale wanaojua zaidi yangu hapa JF watanisaidia ni kwamba kwa Nyakati tuliopo na kwa Hofu ya Wapinzani na Agenda zao, na kwa Uchungu wa Kulikosa Jimbo la Hai ambalo wanalitaka na kwa kutaka Kuleta Hofu na Vitisho nitakuwa wa mwisho Kuamini kama katika hili Tukio la Mbowe hayo Mapanga hayakuwa na Sumu za Kijasusi.
Namalizia tu kwa kusema kama Tanzania ya sasa imefikia hapa ambapo Wanasiasa wanafanyiwa mambo haya mabaya halafu nchi ina Kiongozi Mkuu na ina Idara yake ya Usalama na mambo (matukio) haya yanatokea kila Kukicha ila wanayanyamazia basi huenda kwa Mwaka huu Tanzania ikawa na Vifo vingi vya Wanasiasa (hasa wa Upinzani) na Wanaharakati kuliko wale ambao labda CORONA ingewauwa au imewauwa.
Nawaombea LAANA mbaya sana na Kali mno kwa Mwenyezi Mungu hawa Wote wanaoyafanya haya na hasa huyo Mkubwa wao anayewatuma.
Hakuna kitu hapo ni kiki tuMmh hizi si dalili nzuri kabisa kuelekea uchaguzi mkuu. Njia zote zimeshindikana sasa hii ya kuumizana ndio silaha yao ya mwisho iliyobaki. KUKICHWA KUTAMBAZUKA. WAKATI SI MILELE.
Jr[emoji769]
#oposition lives matterRegime hii inaenda mbali sana.
Seriously,unatembea usiku mnene na hauwezi kujihakikishia ulinzi wako?,,
Sawa na yule alikuwa akilalamika anafuatiliwa na watu kisha akashauliwa achukue tahadhari,yeye akachukulia poa,matokeo yake akashambuliwa,
Hii sio game,,be serious