Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Freeman Mbowe kapoteza vingi sana katika kipindi cha miaka 5; biashara, marafiki na sasa wamemvunja mguu… binafsi sijawahi kusikia hata kauli moja ya Mbowe akimtusi mtu. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba viongozi wa upinzani bungeni wanaishi kwenye makazi rasmi sio uchochoroni.

Nimeinukuu mahali.

Kwa mtazamo wangu naona nchi hii inatenegeneza uasi na ulipizaji kisasi ambao watawala watauita ugaidi toka watu wasiojulikana kuja wanaojulikana. Kwa kauli za Muloto ni wazi anawajua na anafurahi kilichomkuta Mbowe.

Tunaposema ubaguzi upo kila sehemu duniani hii ndiyo maana yake. Bora ubaguzi wa mzungu kuliko wa mtu mweusi. Mtu mweusi anakubagua, anakunyanyasa, anakufilisi, anakufunga kwa kesi za uwongo. Ukipona uko anaamua kukuvamia akuue ili upotee kabisa. Ssa wale watu maarufu wapase sauti.
 

Acha uongo, hakuna neno la kitaalamu linaitea "third part"
 

Huna haja ya kutukana mkuu..... nikwambie tu kwa uwezo wa Jeshi letu kama Mbowe kajiumiza mwenyewe dakika sifuri wangekuwa washamkamata (nisichowapendea polisi wetu huwa hawana siri).....AMINI.......
 
It's where we can notice the big difference between black americans and africans, this is totally intolerable!
 
Ina maana pamoja na bandiko la Jana kuwa viongozi wa chadema ni wanunuaji wa machangudoa mwenyekiti nae kajeruhiwa na dada poa
 
Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni mh Bulaya ameongea na waandishi wa habari na kusema Mbowe ana maumivu makali na kwa sasa wao kama chama wanajipanga kumhamishia Dsm kwa matibabu zaidi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Si rahisi kuwatenga uvccm na ugaidi huu
Your browser is not able to display this video.
 
Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe. Seriously Lisu awe Rais?
Nothing ktk hotuba yote kaonyesha uanaharakati tuu. Huwezi shida kwa style hiyo ya ku attack kila organ. Soon mtaanza kusema mmeibiwa kabla ya uchaguzi.
Vizuri kufikiria (ve+)
 
Mmh hizi si dalili nzuri kabisa kuelekea uchaguzi mkuu. Njia zote zimeshindikana sasa hii ya kuumizana ndio silaha yao ya mwisho iliyobaki. KUKICHWA KUTAMBAZUKA. WAKATI SI MILELE.

Jr[emoji769]
Hakuna kitu hapo ni kiki tu
Yaleyale ya Lisu , kapigwa kushoto kavimba kulia!
 
Ukimsikiliza Msigwa wajumbe wa kikao chao nyumbani kwa Mbowe ni wale wanaojulikana kama Wajumbe wa kamati ndogo ya kamati kuu. Pale amekosekana Reggy na Mrema tu!

Sasa walikuwa wakijadili hotuba ya Lissu au mkakati gani? Je hilo tukio kutokea immediately baada ya kikao haiwezekani kuwa tukio hilo ni maazimio ya kikao hicho?

Siasa hizi za kufungwa mapiopio na kulazwa zilikuwa ni michezo ya Lytonga Mrema enzi hizo. Ninachokiona mimi hawa vijana wa Mrema wa wakati huo Msigwa na Lema wamemwingiza kingi Bw Mbowe!

Nasisitiza the next victim ni Lissu

Ngoja muda utatuambia
Your browser is not able to display this video.


Sent from my itel Prime 4 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
 
Swali la kwanza kujiuliza hivi mbowe hana ulinzi ? nikajiuliza hapo nyumbani kwake walipomvamia pakoje mpaka kiongozi mkubwa wa upinzani kukung'utwa ? baadae nasikia hakuwa nyumbani.

Niseme tu kuwa Freeman Mbowe alikuwa anatafuta kupigwa vizuri ikiwezekana kutekwa kabisa , nimemshangaa kiongozi mkuu wa upinzani (Mbowe) wakati anajua kabisa hali ya siasa nchini tena kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu , yeye anaishi kijinga jinga tu , anatembea usiku bila intelijensia yoyote yaani yupo yupo tu , anatembea usiku bila mpango yani hana hata silaha yoyote kama vile nchi hii yakwako.

Yeye anajua kabisa kisiki kilichobaki katika upinzani ni yeye na anajua watu wasiojulikana wapo kazini masaa 24 , alafu anategemea miujiza ya mungu imshukie tena katika utawala huu .... sawa naweza kusema ukitafutwa kwa dhana maalum ya kukuua au kukujeruhi watakufuata popote lakini hiyo sio tija , tija ni unaishije katika makundi ya maadui zako , mawasilano yako yakoje?

Chakula chako kinaangaliwa vipi? safari zako zinafanyikaje? ratiba yako ya siku inaisha saa ngapi? ulinzi wako umeimarishwaje ? sio unaishi kwa kutegemea fair play utakufa ... na wapinzani wengine muwe makini nchi hii sio yenu .....
 
Seriously,unatembea usiku mnene na hauwezi kujihakikishia ulinzi wako?,,
Sawa na yule alikuwa akilalamika anafuatiliwa na watu kisha akashauliwa achukue tahadhari,yeye akachukulia poa,matokeo yake akashambuliwa,
Hii sio game,,be serious

Sioni hoja yako ni ipi hapa, tatizo ni kutembea usiku au tatizo ni usalama mdogo wa viongozi wa upinzani? Maana kama tatizo ni kutembea usiku, Lisu yeye alishambuliwa mchana kweupe.

Na kama suala ni viongozi wa upinzani kuhitaji ulinzi kwa ajili ya usalama wao, basi Lisu ameomba zaidi ya mara moja ahakikishiwe usalama wake, lakini hakuna aliye tayari kumpa huo ulinzi. Wakati mwingine ndugu jiepushe na kutetea uovu, kwa sababu za kuungaunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…