Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Hao nyangumi mwisho wao nadhani umefika
Wanachadema wakiongozwa na ngurumo wameanza kuvumisha taarifa za uongo kuwa amepigwa so sad,Waliokuwepo maisha club watasema ukweli,jinsi mbowe alivyosukumwa na kimada wake aliemnunua hapa [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]usitumie nguvu nyingi kupotosha ukweli

Jr[emoji769]
 
So sad........

Ni kwanini nyinyi CCM msipingane kwa hoja, kwa mtu anayewapinga?

Mnaona nyinyi "option" moja tu mliyobaki nayo, ya kutumia mabavu hadi kujeruhi.

Unapoitwa mwanasiasa wa upinzani, siyo maana yake ni adui wa Taifa, Bali ni mdau wa maendeleo ya nchi hii

TUBADILIKE
 
Basi shangilieni, semeni ni vita ya uraisi.

Tanzania nzima inafahamu nani ana chuki kubwa na wanaomkosoa, nani aliapa ataufuta upinzani kabla ya 2020 kuisha!!

May nzima Mbowe na CHADEMA yake ameandamwa sana bungeni kupitia subwoofer, wakatumiwa wabunge wake,ikatumika TAAKUUKUU kumulika ruzuku,wakatumiwa wanunuliwaji ubunge kumshambulia amewadhalilisha kingono, yote hayo hayajawafurahisha!!!
 
So SAD why did Mbowe deserve this? WHY WHY WHY. This is a WAKE UP CALL for all Tanzanians who are FED UP with this CROOK and his PUPPETS

Kapigwa na wahuni Kama walivyosema!!!

Sasa Magu anaweza tuma wahuni? Kupiga tu? Hebu jamani tuwe tunafikiria?

Halafu wanatoa na maneno kabisa ukome kutukana Rais? Ha ha ha ha

My brain umekataa kukubali hili.
 
Mbona maelezo yamenyooka au uwezo wako ni kusoma vichwa vya habari tu?


..sina haja ya kubishana hasa na wewe, nikujulishe tu, mleta mada amekuwa akiupdate taarifa yake na sihitaji unishukuru kwa kuuliza nilichouliza. Wengine huwa tunapenda kuuliza majibu ya maswali. Bahati mbaya huwezi kuangalia tofauti ya muda aliopst na muda niliochangia kutaka kufahamu zaidi.

Mbowe ni kiongozi wa umma, wengi tunaumizwa na kinachomtokea na kupata taarifa kamili ni hulka ya asiyekurupuka.

Nikushukuru kwa kuninukuu
 
Kapigwa na wahuni Kama walivyosema!!!

Sasa Magu anaweza tuma wahuni? Kupiga tu? Hebu jamani tuwe tunafikiria?

Halafu wanatoa na maneno kabisa ukome kutukana Rais? Ha ha ha ha

My brain umekataa kukubali hili.
Vip clouds kulazimisha habari irushwe tena ya habari yenyewe ya mchepuko, Jitambue
 
Mmh hizi si dalili nzuri kabisa kuelekea uchaguzi mkuu... Njia zote zimeshindikana sasa hii ya kuumizana ndio silaha yao ya mwisho iliyobaki.. KUKICHWA KUTAMBAZUKA... WAKATI SI MILELE...

Jr[emoji769]
Silaha yao.....
Akina nani hao wamiliki wa hiyo silaha?
Ina maana tayar unawajua.

Mleta uzi kasema walikuwa wanamtaja Magufuli kusemwa na Mbowe, hivi ni kweli mvamizi atoe utakbulisho wake kuwa katoka wapi. Kuna kitu hapa kinatafutwa.
 
Back
Top Bottom