Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Kapigwa na wahuni Kama walivyosema!!!

Sasa Magu anaweza tuma wahuni? Kupiga tu? Hebu jamani tuwe tunafikiria?

Halafu wanatoa na maneno kabisa ukome kutukana Rais? Ha ha ha ha

My brain umekataa kukubali hili.
Utakuwa hujielewi, hakuna chama chenye vijana wahuni wanaojifanya wajuaji kama CCM. Haiingii akilini Mbowe kupigwa na wengine nje ya vijana wahuni wa CCM ambao wanadhani kwa kufanya hivyo eti ni wazalendo.

Na mbaya zaidi utakuta wana vyeo ndani ya serikali ya Magufuli.
 
Nitaandika mengine baadae baada ya kuona taarifa zilizo nyooka kwa Sasa naona Kama Kuna taarifa Zina miss hapa
 
Haya yote chanzo ni hayawani mmoja tu.
Kama raia yeyote ana haki ya kufungua kesi juu ya Mbowe asiye na kinga ya kikatiba Mahakamani pindi atakapoona Mbowe amevunja sheria
 
Hii ni habari ya kushtua na kusikitisha lakini pia kwa jinsi ilivyoripotiwa inaacha maswali mengi. Tumwombee apone na tutafute taarifa za nini kimetoea badala ya mara moja kuelekeza mawazo ya watu kwenye jambo fulani.

Bila kuwa na facts hatujui ni "wahuni" au ni "watu wasiojulikana" na alivamiwa akiwa kwenye gari au alikuwa anatembea kwa miguu, akiwa na kina nani n.k ni muhimu tupate taarifa za uhakika. Dunia hii ina mengi sana... na siyo yote yako kama tunavyodhania au kuaminishwa...
 
Taarifa hi imetoka saa 10 usiku kwamba mbowe alikua akirudi kwake

Muda huu Alikua ametoka wapi ?

Hakuwa na mlinzi/walinzi ?

Si mbaya Kama atajulikana mtu was Kwanza kuonana nae tangu avamiwe anaweza kuwa na taarifa zinazo eleweka
 
Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Mhe.@freemanmbowetz ameshambuliwa na kujeruhiwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni greenguard (wasiojulikana) wakati akirejea nyumbani kwake jijijini Dodoma. Amekimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu. Tutawapatia taarifa zaidi baadae.
Sasa umeongeza kuwa ni "green guards"... tuwe waangalifu... tusije kushindwa kupata ukweli kwa sababu mawazo yetu tayari yameanza kuelekezwa sehemu fulani..
 
Kapigwa na wahuni Kama walivyosema!!!

Sasa Magu anaweza tuma wahuni? Kupiga tu? Hebu jamani tuwe tunafikiria?

Halafu wanatoa na maneno kabisa ukome kutukana Rais? Ha ha ha ha

My brain umekataa kukubali hili.
Anayefikiri JPM anaweza kubariki huu ujinga ni kichaa na mgonjwa wa ushabiki wa kisiasa. Mimi naamini kuna mambo ya ajabu yanaendelea kwenye siasa zetu ambayo hayawekwi wazi.

Mh Philip Mangula amepewa sumu na tunaofatilia siasa muda mrefu tunajua misimamo yake iliyofanya adhalilishwe miaka ya nyuma kabla hajarudi tena awamu hii. Kuna mapito ya kisiasa tunapitia ambayo misuguano huko ndani inawezekana ni mizito mno na cheche zake ndio kama hizi.
 
Sasa umeongeza kuwa ni "green guards"... tuwe waangalifu... tusije kushindwa kupata ukweli kwa sababu mawazo yetu tayari yameanza kuelekezwa sehemu fulani..
Ndio tabu sasa, ngoja tupate maelezo ya kina tuunganishe dot vizuri.
 
Hizi zama za upuuzi sijui zitakwisha lini maana ni ushamba ushamba tu umetawala
 
Anayefikiri JPM anaweza kubariki huu ujinga ni kichaa na mgonjwa wa ushabiki wa kisiasa. Mimi naamini kuna mambo ya ajabu yanaendelea kwenye siasa zetu ambayo hayawekwi wazi.

Mh Philip Mangula amepewa sumu na tunaofatilia siasa muda mrefu tunajua misimamo yake iliyofanya adhalilishwe miaka ya nyuma kabla hajarudi tena awamu hii. Kuna mapito ya kisiasa tunapitia ambayo misuguano huko ndani inawezekana ni mizito mno na cheche zake ndio kama hizi.

Mi nafikiri ni siasa tu za kuwin public sympathy.

Anyway tusubiri pengine yaliyomo yamo
 
Back
Top Bottom