Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Watakamatwa na watajulikana, tena muda siyo mrefu! Natamani ningekuwa Polisi, na kama nisingebahatika kupangiwa kazi hii, basi ningeingia ofisini kwa bosi na kumuomba na mimi niwe mmoja wao!. Muda si mrefu nitarudi na kuja kuya-quote maandishi yangu haya.Nianze Kwanza kwa Kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Familia yake, Wapiga Kura wake, Wanachama wake wa CHADEMA, Wanasiasa mbalimbali, Wabunge na Sisi Watanzania wa kawaida tusioegemea upande wowote ule (Mzukulu) nikiwemo kwa kilichotokea. Naamini Mwenyezi Mungu ataupigania Uhai wake ila kwa waliohusika Maulana / Mola atawajibu kwa Adhabu Kali kabisa.
Jana nilipoziona tu zile Nondo Kali na zenye Mashiko za Mheshimiwa Tundu Lissu nilihisi kabisa kuwa ili kuwapoteza Watu na Kuyahamisha Mawazo yao katika Kukijadili au Kuyajadili yale aliyoyaandika ambayo yote ni mazuri basi ni lazima tu Spinning ya Hatari ingefanyika. Kilichofanyika ni kutaka Kufunika alichokifanya Lissu jana kuanzia leo Watanzania wote tujikite zaidi katika Kuzungumzia hili lililomkuta Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Na Kiutaalam zaidi ili kuonyesha kuwa hawa Wahuni wanaolelewa vibaya na walijipanga ni kwamba itakuwa walijipanga tokea pale Taarifa za Mheshimiwa Tundu Lissu aliposema kuwa atazungumza na Watanzania hivyo hata Wao walishajipanga na walipoona Jana Mheshimiwa Tundu Lissu katoa Nondo ile Kabambe basi na Wao wakaamua Kulitekeleza hilo walilolitekeleza.
Kuna Mmoja namuheshimu sana humu ila sasa nitaanza Kumdharau amesema kuwa Mheshimiwa Mbowe Kavamiwa na Majambazi akiwa na Kimada aliyemnunua.
Ameshindwa kujua ya kwamba Siku zote Mbinu za Kijasusi huwa zinaratibiwa vyema na Kimkakati zaidi kwa kuwahusisha Magenge ya Wahuni ili hata likija Kufanikiwa basi hao Majasusi wasijulikane moja kwa moja kama ni Wao.
Kwa hali ilivyo na kwa uelewa wangu mdogo sana wa Masuala ya Usalama ( Ujasusi ) ila wale wanaojua zaidi yangu hapa JF watanisaidia ni kwamba kwa Nyakati tuliopo na kwa Hofu ya Wapinzani na Agenda zao, na kwa Uchungu wa Kulikosa Jimbo la Hai ambalo wanalitaka na kwa kutaka Kuleta Hofu na Vitisho nitakuwa wa mwisho Kuamini kama katika hili Tukio la Mbowe hayo Mapanga hayakuwa na Sumu za Kijasusi.
Namalizia tu kwa kusema kama Tanzania ya sasa imefikia hapa ambapo Wanasiasa wanafanyiwa mambo haya mabaya halafu nchi ina Kiongozi Mkuu na ina Idara yake ya Usalama na mambo (matukio) haya yanatokea kila Kukicha ila wanayanyamazia basi huenda kwa Mwaka huu Tanzania ikawa na Vifo vingi vya Wanasiasa (hasa wa Upinzani) na Wanaharakati kuliko wale ambao labda CORONA ingewauwa au imewauwa.
Nawaombea LAANA mbaya sana na Kali mno kwa Mwenyezi Mungu hawa Wote wanaoyafanya haya na hasa huyo Mkubwa wao anayewatuma.
Wewe hata ujipendekeze vipi CCM hupati kitu, uliiba hela huku,na kigezo cha kabila lako pia ni kikwazo utasugua bench hadi matako yaote sugu huteuliwi ng'oUkimsikiliza Msigwa wajumbe wa kikao chao nyumbani kwa Mbowe ni wale wanaojulikana kama Wajumbe wa kamati ndogo ya kamati kuu. Pale amekosekana Reggy na Mrema tu!
Sasa walikuwa wakijadili hotuba ya Lissu au mkakati gani? Je hilo tukio kutokea immediately baada ya kikao haiwezekani kuwa tukio hilo ni maazimio ya kikao hicho?
Siasa hizi za kufungwa mapiopio na kulazwa zilikuwa ni michezo ya Lytonga Mrema enzi hizo. Ninachokiona mimi hawa vijana wa Mrema wa wakati huo Msigwa na Lema wamemwingiza kingi Bw Mbowe!
Nasisitiza the next victim ni Lissu
Ngoja muda utatuambiaView attachment 1472885
Sent from my itel Prime 4 using JamiiForums mobile app
Uchaguzi wa 2020 kuna watu wengi watauliwa kikatili sana ni suala la muda tu.Nianze Kwanza kwa Kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Familia yake, Wapiga Kura wake, Wanachama wake wa CHADEMA, Wanasiasa mbalimbali, Wabunge na Sisi Watanzania wa kawaida tusioegemea upande wowote ule (Mzukulu) nikiwemo kwa kilichotokea. Naamini Mwenyezi Mungu ataupigania Uhai wake ila kwa waliohusika Maulana / Mola atawajibu kwa Adhabu Kali kabisa.
Jana nilipoziona tu zile Nondo Kali na zenye Mashiko za Mheshimiwa Tundu Lissu nilihisi kabisa kuwa ili kuwapoteza Watu na Kuyahamisha Mawazo yao katika Kukijadili au Kuyajadili yale aliyoyaandika ambayo yote ni mazuri basi ni lazima tu Spinning ya Hatari ingefanyika. Kilichofanyika ni kutaka Kufunika alichokifanya Lissu jana kuanzia leo Watanzania wote tujikite zaidi katika Kuzungumzia hili lililomkuta Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Na Kiutaalam zaidi ili kuonyesha kuwa hawa Wahuni wanaolelewa vibaya na walijipanga ni kwamba itakuwa walijipanga tokea pale Taarifa za Mheshimiwa Tundu Lissu aliposema kuwa atazungumza na Watanzania hivyo hata Wao walishajipanga na walipoona Jana Mheshimiwa Tundu Lissu katoa Nondo ile Kabambe basi na Wao wakaamua Kulitekeleza hilo walilolitekeleza.
Kuna Mmoja namuheshimu sana humu ila sasa nitaanza Kumdharau amesema kuwa Mheshimiwa Mbowe Kavamiwa na Majambazi akiwa na Kimada aliyemnunua. Ameshindwa kujua ya kwamba Siku zote Mbinu za Kijasusi huwa zinaratibiwa vyema na Kimkakati zaidi kwa kuwahusisha Magenge ya Wahuni ili hata likija Kufanikiwa basi hao Majasusi wasijulikane moja kwa moja kama ni Wao.
Kwa hali ilivyo na kwa uelewa wangu mdogo sana wa Masuala ya Usalama ( Ujasusi ) ila wale wanaojua zaidi yangu hapa JF watanisaidia ni kwamba kwa Nyakati tuliopo na kwa Hofu ya Wapinzani na Agenda zao, na kwa Uchungu wa Kulikosa Jimbo la Hai ambalo wanalitaka na kwa kutaka Kuleta Hofu na Vitisho nitakuwa wa mwisho Kuamini kama katika hili Tukio la Mbowe hayo Mapanga hayakuwa na Sumu za Kijasusi.
Namalizia tu kwa kusema kama Tanzania ya sasa imefikia hapa ambapo Wanasiasa wanafanyiwa mambo haya mabaya halafu nchi ina Kiongozi Mkuu na ina Idara yake ya Usalama na mambo (matukio) haya yanatokea kila Kukicha ila wanayanyamazia basi huenda kwa Mwaka huu Tanzania ikawa na Vifo vingi vya Wanasiasa (hasa wa Upinzani) na Wanaharakati kuliko wale ambao labda CORONA ingewauwa au imewauwa.
Nawaombea LAANA mbaya sana na Kali mno kwa Mwenyezi Mungu hawa Wote wanaoyafanya haya na hasa huyo Mkubwa wao anayewatuma.
Vipi mgahawa wako Chakula mama ntiliee bado Unaendelea naoUkimsikiliza Msigwa wajumbe wa kikao chao nyumbani kwa Mbowe ni wale wanaojulikana kama Wajumbe wa kamati ndogo ya kamati kuu. Pale amekosekana Reggy na Mrema tu!
Sasa walikuwa wakijadili hotuba ya Lissu au mkakati gani? Je hilo tukio kutokea immediately baada ya kikao haiwezekani kuwa tukio hilo ni maazimio ya kikao hicho?
Siasa hizi za kufungwa mapiopio na kulazwa zilikuwa ni michezo ya Lytonga Mrema enzi hizo. Ninachokiona mimi hawa vijana wa Mrema wa wakati huo Msigwa na Lema wamemwingiza kingi Bw Mbowe!
Nasisitiza the next victim ni Lissu
Ngoja muda utatuambiaView attachment 1472885
Sent from my itel Prime 4 using JamiiForums mobile app
Mkuu hata Mimi najiuliza swali kama hili whyMbowe hana walinzi?
Kama hii habari ni ya kweli basi CHADEMA ni sikio la kufa lisilosikia dawa!
Huna hoja!Hovyoooooo
Nchi hii kama siyo ya wapinzani ni ya nani ?Swali la kwanza kujiuliza hivi mbowe hana ulinzi ? nikajiuliza hapo nyumbani kwake walipomvamia pakoje mpaka kiongozi mkubwa wa upinzani kukung'utwa ? baadae nasikia hakuwa nyumbani.
Niseme tu kuwa Freeman Mbowe alikuwa anatafuta kupigwa vizuri ikiwezekana kutekwa kabisa , nimemshangaa kiongozi mkuu wa upinzani (Mbowe) wakati anajua kabisa hali ya siasa nchini tena kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu , yeye anaishi kijinga jinga tu , anatembea usiku bila intelijensia yoyote yaani yupo yupo tu , anatembea usiku bila mpango yani hana hata silaha yoyote kama vile nchi hii yakwako , yeye anajua kabisa kisiki kilichobaki katika upinzani ni yeye na anajua watu wasiojulikana wapo kazini masaa 24 , alafu anategemea miujiza ya mungu imshukie tena katika utawala huu .... sawa naweza kusema ukitafutwa kwa dhana maalum ya kukuua au kukujeruhi watakufuata popote lakini hiyo sio tija , tija ni unaishije katika makundi ya maadui zako , mawasilano yako yakoje ? chakula chako kinaangaliwa vipi? safari zako zinafanyikaje? ratiba yako ya siku inaisha saa ngapi? ulinzi wako umeimarishwaje ? sio unaishi kwa kutegemea fair play utakufa ... na wapinzani wengine muwe makini nchi hii sio yenu .....
View attachment 1472626
View attachment 1472650
Salaam,
Taarifa nilizozipata hivi punde toka chanzo changu kinanihabarisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman A. Mbowe amevamiwa na kikundi cha watu wasiojulikana akielekea nyumbani kwake usiku huu na kupigwa na wamemuumiza.
Tukio hili limetokea majira ya saa 6-7 usiku.
Mhe. Mbowe amekimbizwa Hospitali ya Ntyuka iliyopo jijini Dodoma.
Kamanda Muroto amesema wamepata taarifa kuwa kavunjwa mguu wa kulia na amelazwa Wodi namba 4 hospitalini hapo. Amesema taarifa zaidi zitafuata
MAONI YANGU:
Mhe. Mbowe kuvamiwa na kupigwa eneo la Area D, jijini Dodoma, Mtaa wa Sengia; linalotajwa kuwa na ulinzi wa kutosha, kama ilivyotokea kwa Lissu kunaacha maswali mengi, je, hili linaweza kuwa limechochewa na Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa JMT October 2020? Ni hasira au kitu gani? No one knows.
Bado najiuliza; hivi kama Taifa kwa tabia hizi za kihuni tunaelekea wapi? Hawa wanaojichukulia sheria mikononi kila siku wanafanya hivyo kwa kutumwa na nani? Matendo haya yataendelea kwa viongozi wa upinzani mpaka lini?
We need to wake up, better late than never.
Hawakuwepo.View attachment 1472909
Hawa mabaunsa wake walikuwa wapi?
Wewe pia kwa kuchambua upande alochukua mwenzio nawe umeonesha upande wako.Sitajali nani amesema nini kwenye uzi huu, nitatoa mchango wangu Kwa uelewa wangu na utashi wangu. Mtoa Uzi/taarifa alianza vizuri Sana Kwa maana ya kutupasha habari isipokua akachagua upande kwenye ubeti wa tatu (3).
Kama ni kweli mtu huyo kashambuliwa, kwa sababu zozote, siungi mkono jambo hilo ns pia siungi mkono endapo jambo hili ni la "kupika"
'Ambele Daniel Mwasuka'
Hao wanaoning´inia hapo ni walinzi toka Chadema, sio serikali, na yeye ndo mkuu Chadema, kwanini aliwaondoa? Kama anakaa ndani ya gari na dereva wakati wa korona, hao waliokuwa wananing´inia nje ya gari walishindwaje kuwepo?Hawakuwepo.View attachment 1472910
Usiwasahau hawa hapaTuanzie hapo
Ndio hayo yaliopangwa.Tangu kuripotiwa kwa tukio la jaribio la kutaka kutoa uhai wa Mh. Mbowe tumesoma humu nyuzi na post za watu wa CCM jinsi wanavyokejeli na kupotosha ukweli wa shambulio hili, ni dhahiri kuwa ni chama hicho ndiyo kimepanga na kutekeleza shambulio hili. Waliandaliwa watu kwenye mitandao yote hasa hapa JF kutengeneza picha kuwa Mh. Mbowe mwenyewe ndiye aliyepanga shambulio hili, zipo post zenye kukera na kumkashifu Mh. Mbowe ambazo zinapandisha hasira na mods kwa sababu wanazozijua wameziacha tu ziendelee kuchafua hali ya hewa humu. Kwa vile mambo yote haya yanaonyesha viashiria kuwa yana baraka za wenye mamlaka basi ni wakati sasa Chadema kujibu mapigo. Akumulikaye mchana usiku atakuchoma.Jino kwa jino na chubuko kwa chubuko.
Funga bakuli lako, unagongwa wewe. Tz ina wajinga wengi sana aisee.Unaongea kwa jicho la nyuma nini ,jaribu kujivunja mguu mwenyewe tuone