Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Viongozi wa ccm na wabunge wao wasiruhusiwe kumuona Mbowe hospitalini
 
Nianze Kwanza kwa Kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Familia yake, Wapiga Kura wake, Wanachama wake wa CHADEMA, Wanasiasa mbalimbali, Wabunge na Sisi Watanzania wa kawaida tusioegemea upande wowote ule (Mzukulu) nikiwemo kwa kilichotokea. Naamini Mwenyezi Mungu ataupigania Uhai wake ila kwa waliohusika Maulana / Mola atawajibu kwa Adhabu Kali kabisa.

Jana nilipoziona tu zile Nondo Kali na zenye Mashiko za Mheshimiwa Tundu Lissu nilihisi kabisa kuwa ili kuwapoteza Watu na Kuyahamisha Mawazo yao katika Kukijadili au Kuyajadili yale aliyoyaandika ambayo yote ni mazuri basi ni lazima tu Spinning ya Hatari ingefanyika. Kilichofanyika ni kutaka Kufunika alichokifanya Lissu jana kuanzia leo Watanzania wote tujikite zaidi katika Kuzungumzia hili lililomkuta Mheshimiwa Freeman Mbowe.

Na Kiutaalam zaidi ili kuonyesha kuwa hawa Wahuni wanaolelewa vibaya na walijipanga ni kwamba itakuwa walijipanga tokea pale Taarifa za Mheshimiwa Tundu Lissu aliposema kuwa atazungumza na Watanzania hivyo hata Wao walishajipanga na walipoona Jana Mheshimiwa Tundu Lissu katoa Nondo ile Kabambe basi na Wao wakaamua Kulitekeleza hilo walilolitekeleza.

Kuna Mmoja namuheshimu sana humu ila sasa nitaanza Kumdharau amesema kuwa Mheshimiwa Mbowe Kavamiwa na Majambazi akiwa na Kimada aliyemnunua.

Ameshindwa kujua ya kwamba Siku zote Mbinu za Kijasusi huwa zinaratibiwa vyema na Kimkakati zaidi kwa kuwahusisha Magenge ya Wahuni ili hata likija Kufanikiwa basi hao Majasusi wasijulikane moja kwa moja kama ni Wao.

Kwa hali ilivyo na kwa uelewa wangu mdogo sana wa Masuala ya Usalama ( Ujasusi ) ila wale wanaojua zaidi yangu hapa JF watanisaidia ni kwamba kwa Nyakati tuliopo na kwa Hofu ya Wapinzani na Agenda zao, na kwa Uchungu wa Kulikosa Jimbo la Hai ambalo wanalitaka na kwa kutaka Kuleta Hofu na Vitisho nitakuwa wa mwisho Kuamini kama katika hili Tukio la Mbowe hayo Mapanga hayakuwa na Sumu za Kijasusi.

Namalizia tu kwa kusema kama Tanzania ya sasa imefikia hapa ambapo Wanasiasa wanafanyiwa mambo haya mabaya halafu nchi ina Kiongozi Mkuu na ina Idara yake ya Usalama na mambo (matukio) haya yanatokea kila Kukicha ila wanayanyamazia basi huenda kwa Mwaka huu Tanzania ikawa na Vifo vingi vya Wanasiasa (hasa wa Upinzani) na Wanaharakati kuliko wale ambao labda CORONA ingewauwa au imewauwa.

Nawaombea LAANA mbaya sana na Kali mno kwa Mwenyezi Mungu hawa Wote wanaoyafanya haya na hasa huyo Mkubwa wao anayewatuma.
Watakamatwa na watajulikana, tena muda siyo mrefu! Natamani ningekuwa Polisi, na kama nisingebahatika kupangiwa kazi hii, basi ningeingia ofisini kwa bosi na kumuomba na mimi niwe mmoja wao!. Muda si mrefu nitarudi na kuja kuya-quote maandishi yangu haya.

Niliwahi kusema huko nyuma kuwa Sumaye na Lowassa watarudi CCM, na hatimaye walirudi kweli. Yaani hii issue mimi kabisa ninaiona kwa jicho la ki-Polisi na nisingependa kuongea mengi, isipokuwa swala hili ni la kisiasa lakini halijafanywa na wana-Siasa.
 
Ukimsikiliza Msigwa wajumbe wa kikao chao nyumbani kwa Mbowe ni wale wanaojulikana kama Wajumbe wa kamati ndogo ya kamati kuu. Pale amekosekana Reggy na Mrema tu!

Sasa walikuwa wakijadili hotuba ya Lissu au mkakati gani? Je hilo tukio kutokea immediately baada ya kikao haiwezekani kuwa tukio hilo ni maazimio ya kikao hicho?

Siasa hizi za kufungwa mapiopio na kulazwa zilikuwa ni michezo ya Lytonga Mrema enzi hizo. Ninachokiona mimi hawa vijana wa Mrema wa wakati huo Msigwa na Lema wamemwingiza kingi Bw Mbowe!

Nasisitiza the next victim ni Lissu

Ngoja muda utatuambiaView attachment 1472885

Sent from my itel Prime 4 using JamiiForums mobile app
Wewe hata ujipendekeze vipi CCM hupati kitu, uliiba hela huku,na kigezo cha kabila lako pia ni kikwazo utasugua bench hadi matako yaote sugu huteuliwi ng'o
 
Hivi ukishakuwa mwanasiasa huwezi kuwa na ugomvi na watu wengine nje ya hii sphere hadi kila unapovamiwa, kupigwa au kufanyiwa fujo ionekane ni serikali ndo wahusika?
 
Nianze Kwanza kwa Kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Familia yake, Wapiga Kura wake, Wanachama wake wa CHADEMA, Wanasiasa mbalimbali, Wabunge na Sisi Watanzania wa kawaida tusioegemea upande wowote ule (Mzukulu) nikiwemo kwa kilichotokea. Naamini Mwenyezi Mungu ataupigania Uhai wake ila kwa waliohusika Maulana / Mola atawajibu kwa Adhabu Kali kabisa.

Jana nilipoziona tu zile Nondo Kali na zenye Mashiko za Mheshimiwa Tundu Lissu nilihisi kabisa kuwa ili kuwapoteza Watu na Kuyahamisha Mawazo yao katika Kukijadili au Kuyajadili yale aliyoyaandika ambayo yote ni mazuri basi ni lazima tu Spinning ya Hatari ingefanyika. Kilichofanyika ni kutaka Kufunika alichokifanya Lissu jana kuanzia leo Watanzania wote tujikite zaidi katika Kuzungumzia hili lililomkuta Mheshimiwa Freeman Mbowe.

Na Kiutaalam zaidi ili kuonyesha kuwa hawa Wahuni wanaolelewa vibaya na walijipanga ni kwamba itakuwa walijipanga tokea pale Taarifa za Mheshimiwa Tundu Lissu aliposema kuwa atazungumza na Watanzania hivyo hata Wao walishajipanga na walipoona Jana Mheshimiwa Tundu Lissu katoa Nondo ile Kabambe basi na Wao wakaamua Kulitekeleza hilo walilolitekeleza.

Kuna Mmoja namuheshimu sana humu ila sasa nitaanza Kumdharau amesema kuwa Mheshimiwa Mbowe Kavamiwa na Majambazi akiwa na Kimada aliyemnunua. Ameshindwa kujua ya kwamba Siku zote Mbinu za Kijasusi huwa zinaratibiwa vyema na Kimkakati zaidi kwa kuwahusisha Magenge ya Wahuni ili hata likija Kufanikiwa basi hao Majasusi wasijulikane moja kwa moja kama ni Wao.

Kwa hali ilivyo na kwa uelewa wangu mdogo sana wa Masuala ya Usalama ( Ujasusi ) ila wale wanaojua zaidi yangu hapa JF watanisaidia ni kwamba kwa Nyakati tuliopo na kwa Hofu ya Wapinzani na Agenda zao, na kwa Uchungu wa Kulikosa Jimbo la Hai ambalo wanalitaka na kwa kutaka Kuleta Hofu na Vitisho nitakuwa wa mwisho Kuamini kama katika hili Tukio la Mbowe hayo Mapanga hayakuwa na Sumu za Kijasusi.

Namalizia tu kwa kusema kama Tanzania ya sasa imefikia hapa ambapo Wanasiasa wanafanyiwa mambo haya mabaya halafu nchi ina Kiongozi Mkuu na ina Idara yake ya Usalama na mambo (matukio) haya yanatokea kila Kukicha ila wanayanyamazia basi huenda kwa Mwaka huu Tanzania ikawa na Vifo vingi vya Wanasiasa (hasa wa Upinzani) na Wanaharakati kuliko wale ambao labda CORONA ingewauwa au imewauwa.

Nawaombea LAANA mbaya sana na Kali mno kwa Mwenyezi Mungu hawa Wote wanaoyafanya haya na hasa huyo Mkubwa wao anayewatuma.
Uchaguzi wa 2020 kuna watu wengi watauliwa kikatili sana ni suala la muda tu.

Viongozi wa umma wameshayabariki haya kuwa ni mfumo rasmi wa uongozi wao.

Vyombo vya dola vimeshakubali Kuulea, na kuulinda huu mfumo mpya wa uongozi wa awamu ya tano.

Wananchi wameamua kumwachia Mungu tu liwalo na liwe na kujipa Faraja ya muda kuwa watamaliza muda wao wataondoka atakuja masihi mwingine ataturuudisha katika zama za utu.

Tutegemee nini katika utawala uliojitangaza rasmi kuwa hauna utu, licha ya kwamba unaongoza watu wenye nyama na roho ?

Basi tusubiri uchaguzi tuzike watu wetu watakaokuwa wamekatishwa maisha yao na wazalendo bandia chini ya usimamizi wa dola.
 
Ukimsikiliza Msigwa wajumbe wa kikao chao nyumbani kwa Mbowe ni wale wanaojulikana kama Wajumbe wa kamati ndogo ya kamati kuu. Pale amekosekana Reggy na Mrema tu!

Sasa walikuwa wakijadili hotuba ya Lissu au mkakati gani? Je hilo tukio kutokea immediately baada ya kikao haiwezekani kuwa tukio hilo ni maazimio ya kikao hicho?

Siasa hizi za kufungwa mapiopio na kulazwa zilikuwa ni michezo ya Lytonga Mrema enzi hizo. Ninachokiona mimi hawa vijana wa Mrema wa wakati huo Msigwa na Lema wamemwingiza kingi Bw Mbowe!

Nasisitiza the next victim ni Lissu

Ngoja muda utatuambiaView attachment 1472885

Sent from my itel Prime 4 using JamiiForums mobile app
Vipi mgahawa wako Chakula mama ntiliee bado Unaendelea nao

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Swali la kwanza kujiuliza hivi mbowe hana ulinzi ? nikajiuliza hapo nyumbani kwake walipomvamia pakoje mpaka kiongozi mkubwa wa upinzani kukung'utwa ? baadae nasikia hakuwa nyumbani.
Niseme tu kuwa Freeman Mbowe alikuwa anatafuta kupigwa vizuri ikiwezekana kutekwa kabisa , nimemshangaa kiongozi mkuu wa upinzani (Mbowe) wakati anajua kabisa hali ya siasa nchini tena kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu , yeye anaishi kijinga jinga tu , anatembea usiku bila intelijensia yoyote yaani yupo yupo tu , anatembea usiku bila mpango yani hana hata silaha yoyote kama vile nchi hii yakwako , yeye anajua kabisa kisiki kilichobaki katika upinzani ni yeye na anajua watu wasiojulikana wapo kazini masaa 24 , alafu anategemea miujiza ya mungu imshukie tena katika utawala huu .... sawa naweza kusema ukitafutwa kwa dhana maalum ya kukuua au kukujeruhi watakufuata popote lakini hiyo sio tija , tija ni unaishije katika makundi ya maadui zako , mawasilano yako yakoje ? chakula chako kinaangaliwa vipi? safari zako zinafanyikaje? ratiba yako ya siku inaisha saa ngapi? ulinzi wako umeimarishwaje ? sio unaishi kwa kutegemea fair play utakufa ... na wapinzani wengine muwe makini nchi hii sio yenu .....
Nchi hii kama siyo ya wapinzani ni ya nani ?

Inamaana katika nchi hii kuna wenye nchi na wasio na nchi.
 
View attachment 1472626
View attachment 1472650

Salaam,

Taarifa nilizozipata hivi punde toka chanzo changu kinanihabarisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman A. Mbowe amevamiwa na kikundi cha watu wasiojulikana akielekea nyumbani kwake usiku huu na kupigwa na wamemuumiza.

Tukio hili limetokea majira ya saa 6-7 usiku.

Mhe. Mbowe amekimbizwa Hospitali ya Ntyuka iliyopo jijini Dodoma.

Kamanda Muroto amesema wamepata taarifa kuwa kavunjwa mguu wa kulia na amelazwa Wodi namba 4 hospitalini hapo. Amesema taarifa zaidi zitafuata

MAONI YANGU:
Mhe. Mbowe kuvamiwa na kupigwa eneo la Area D, jijini Dodoma, Mtaa wa Sengia; linalotajwa kuwa na ulinzi wa kutosha, kama ilivyotokea kwa Lissu kunaacha maswali mengi, je, hili linaweza kuwa limechochewa na Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa JMT October 2020? Ni hasira au kitu gani? No one knows.

Bado najiuliza; hivi kama Taifa kwa tabia hizi za kihuni tunaelekea wapi? Hawa wanaojichukulia sheria mikononi kila siku wanafanya hivyo kwa kutumwa na nani? Matendo haya yataendelea kwa viongozi wa upinzani mpaka lini?

We need to wake up, better late than never.

1591689304946.png

Hawa mabaunsa wake walikuwa wapi?
 
Awe pole mweshimiwa, katika kipindi kama hiki wawe tayari kwa mengi ya namna hiyo na zaidi yake.
Liishalo ndio dogo kuliko linalokuja.
 
Sitajali nani amesema nini kwenye uzi huu, nitatoa mchango wangu Kwa uelewa wangu na utashi wangu. Mtoa Uzi/taarifa alianza vizuri Sana Kwa maana ya kutupasha habari isipokua akachagua upande kwenye ubeti wa tatu (3).

Kama ni kweli mtu huyo kashambuliwa, kwa sababu zozote, siungi mkono jambo hilo ns pia siungi mkono endapo jambo hili ni la "kupika"

'Ambele Daniel Mwasuka'
Wewe pia kwa kuchambua upande alochukua mwenzio nawe umeonesha upande wako.
 
Hii ni ishara kuwa hawa vijana wataua watu wengi kuelekea uchaguzi mkuu ujao
 
Hao wanaoning´inia hapo ni walinzi toka Chadema, sio serikali, na yeye ndo mkuu Chadema, kwanini aliwaondoa? Kama anakaa ndani ya gari na dereva wakati wa korona, hao waliokuwa wananing´inia nje ya gari walishindwaje kuwepo?

Alafu kweli Serikali hii imuhofie Mbowe kufanya kampeni????

YAANI HII SERIKALI IKIAMUA KUSHINDA UCHAGUZI, Kampeni za Mbowe zinawahusu nini?

Maana kama ubabe ni wababe kweli, hata tukisema upinzani umeshinda, tume gani itakayowatangaza???

Hivi kwanini Chadema hawataki kukua?? Wanakera sana kwa kweli. Yaani kabisa wameshindwa mpaka leo kumsoma Mkulu na kumbunia mbinu za kupambana naye?

Au KUB anatafuta sababu ya kutohojiwa na TAKUKURU??
 
Tangu kuripotiwa kwa tukio la jaribio la kutaka kutoa uhai wa Mh. Mbowe tumesoma humu nyuzi na post za watu wa CCM jinsi wanavyokejeli na kupotosha ukweli wa shambulio hili, ni dhahiri kuwa ni chama hicho ndiyo kimepanga na kutekeleza shambulio hili. Waliandaliwa watu kwenye mitandao yote hasa hapa JF kutengeneza picha kuwa Mh. Mbowe mwenyewe ndiye aliyepanga shambulio hili, zipo post zenye kukera na kumkashifu Mh. Mbowe ambazo zinapandisha hasira na mods kwa sababu wanazozijua wameziacha tu ziendelee kuchafua hali ya hewa humu. Kwa vile mambo yote haya yanaonyesha viashiria kuwa yana baraka za wenye mamlaka basi ni wakati sasa Chadema kujibu mapigo. Akumulikaye mchana usiku atakuchoma.Jino kwa jino na chubuko kwa chubuko.
Ndio hayo yaliopangwa.
IMG_20200609_100315.jpg
 
KWA MWENENDO HUU
NASHAURI WAWEKE LIT HATA WATU WA KWENDA KUANGALIA AIJALISHI ANA CHEO GANI MDASASA WAKUJILINDA NA YEYE PIA

WASIRUHUSU KILAPOYOYO KUINGIA ATALIAMAZIMA
 
Back
Top Bottom