Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Hii sasa na iwe ni kengere tosha kuwa sasa watanzania tuamke kumekucha tuwache kusinzia na tujue kuwa tukimchekea nyani tutavuna mabua.
Wewe kuamka kwako una nini cha kufanya??
 
OK Mungu akusamehe.
 
Siku chache kabla ya tukio.
 
Kwa mfano wewe ungekua una chama chako kinataka kushika madaraka.. ungekuja na mbinu gani..??
 
"Hakuwa na walinzi maana waliondolewa kipindi cha sakata la Corona, sasa wakati anapanda ngazi wakashuka watu watatu wakamuambia wewe unaisumbua sana Serikali, sisi hatuna mpango wa kukuua ila tunataka tukuvunje ili ushindwe kufanya kampeni"


Chanzo:EastAfricaRadio tweet
 
Huyo Mbowe itakuwa kapigwa na wenzake tu wa CHADEMA baada ya kuonekana ku base upande mmoja wa Mgombea kutoka Chama Chake!!!
 
Sasa huyu si ndio alikuwa analilia lockdown, kumbe ilikuwa ni unafikiki tu! Lockdown kwa mtembezi wa usiku wa manane wapi na wapi?
 
Chadema ni wapuuzi sana baada ya issue ya corona kubuma mmeanza mchezo wenu wa kujiteka,washenzi sana nyie,mtashindwa tu
 
Alidunguliwa hakupigwa kwasababu isingewezekana kumpiga kwa ulinzi aliokuwa nao mbowe amepigwa na watu watatu that means walimtoa kwenye gari wakamshusha chini wakampa kichapo, dereva wake alikuwa wapi? Walinzi wake je? Na hao watu hawakuwa na silaha ya moto kwa maezo ya kamanda muroto
 
Na Dereva wake nae ka umizwa ama yupo pamoja na Mwenyekiti hospt,maana Dereva ndiye angetupa picha kamili
Inasemekana ni mtu 3 tuu imemburuza ina maana alikuwa peke yake?na kama alikuwa peke yake mda huo bado kuna wasiwasi na kama alichelewa kurudi kazini lazma mlinzi alikuwepo.mbona sijasikia lolote kuhusu mlinzi.
 
Siasa tu ,hata kama ni CDM au CCm au NSSR jamani Mbowe anawatoa roho wakati siasa ni homa.Akija Lissu mtamvunja shingo kwa kweli duuuu
 
Nilikuwa natafuta kauli yako mkuu. Hujawahi kuniangusha. Big up.
Nimeshangaa, kwa hali ya Mbowe apigwe makofi, how comes?
Kuna mtu ndio aliandika huo ujinga nami nikamuuuliza

Jr[emoji769]
 
Hili ndilo jibu kwetu na chadema

Lisu ana mbowe wanashida ya miguu means hawataweza zungumza muda mrefu maeneo mengi

Poleni cdm na wafuasi wake

Maisha ni duara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…