Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Mbowe bhana, hivi hizi drama ni mpaka lini?

Yani mtu anazurura mpka usiku wa manane alafu hana walinzi kisa corona? Huko anakozunguka hakuna corona?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Hii ni kazi ya Mwenyekiti wetu wa CCM, sijui kwanini anawaogopa Wapinzani kiasi hiki? Amejenga mabarabara, madaraja, kununua ndege n.k japo kwa fedha za mikopo ambayo tutailipa wananchi wenyewe huko mbeleni, lakini bado hofu imemjaa tu.
 
Sioni hoja yako ni ipi hapa, tatizo ni kutembea usiku au tatizo ni usalama mdogo wa viongozi wa upinzani? Maana kama tatizo ni kutembea usiku, Lisu yeye alishambuliwa mchana kweupe.

Na kama suala ni viongozi wa upinzani kuhitaji ulinzi kwa ajili ya usalama wao, basi Lisu ameomba zaidi ya mara moja ahakikishiwe usalama wake, lakini hakuna aliye tayari kumpa huo ulinzi. Wakati mwingine ndugu jiepushe na kutetea uovu, kwa sababu za kuungaunga.
Yani Lisu apatiwe ulinzi na selikali?

Hivi kila mtu akilalamika anatishiwa hiyo selikali itawapa ulinzi watu binafsi wangapi?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Hii ni kazi ya Mwenyekiti wetu wa CCM, sijui kwanini anawaogopa Wapinzani kiasi hiki? Amejenga mabarabara, madaraja, kununua ndege n.k japo kwa fedha za mikopo ambayo tutailipa wananchi wenyewe huko mbeleni, lakini bado hofu imemjaa tu.
 
"Hakuwa na walinzi maana waliondolewa kipindi cha sakata la Corona, sasa wakati anapanda ngazi wakashuka watu watatu wakamuambia wewe unaisumbua sana Serikali, sisi hatuna mpango wa kukuua ila tunataka tukuvunje ili ushindwe kufanya kampeni"
View attachment 1472942

Chanzo:EastAfricaRadio tweet
Sijawahi watawala wanao uogopa upinzani kiasi hiki
 
Kwaio Mbowe Kaka nyangwa Mpaka kavunjika mguu na mkono alikua amekaa style gani Mana inaonesha wazi hakua amelala chali Wala kulalia tumbo Kuna stail alikua amekaa MTUSAIDIE jaman
Mana style zingine ni ngumu kufanywa mpaka ipelekee mguu na mkono kuvunjika huenda alikua kapinda mguu umekaa vibaya au mkono umeingia sehemu mbaya mifano kwenye mbao
 
Nimeamini kabisa kuwa ndani ya ccm hali ya kisiasa ni ngumu sana na wanaamini kabisa kuwa hakuna mwanachi wa kuwachagua tena
Hawa jamaa wameshaona kuwa Chadema inaelekea kuwatoa kamasi sasa wameamua kumwaga damu.
 
Nianze Kwanza kwa Kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Familia yake, Wapiga Kura wake, Wanachama wake wa CHADEMA, Wanasiasa mbalimbali, Wabunge na Sisi Watanzania wa kawaida tusioegemea upande wowote ule (Mzukulu) nikiwemo kwa kilichotokea. Naamini Mwenyezi Mungu ataupigania Uhai wake ila kwa waliohusika Maulana / Mola atawajibu kwa Adhabu Kali kabisa.

Jana nilipoziona tu zile Nondo Kali na zenye Mashiko za Mheshimiwa Tundu Lissu nilihisi kabisa kuwa ili kuwapoteza Watu na Kuyahamisha Mawazo yao katika Kukijadili au Kuyajadili yale aliyoyaandika ambayo yote ni mazuri basi ni lazima tu Spinning ya Hatari ingefanyika. Kilichofanyika ni kutaka Kufunika alichokifanya Lissu jana kuanzia leo Watanzania wote tujikite zaidi katika Kuzungumzia hili lililomkuta Mheshimiwa Freeman Mbowe.

Na Kiutaalam zaidi ili kuonyesha kuwa hawa Wahuni wanaolelewa vibaya na walijipanga ni kwamba itakuwa walijipanga tokea pale Taarifa za Mheshimiwa Tundu Lissu aliposema kuwa atazungumza na Watanzania hivyo hata Wao walishajipanga na walipoona Jana Mheshimiwa Tundu Lissu katoa Nondo ile Kabambe basi na Wao wakaamua Kulitekeleza hilo walilolitekeleza.

Kuna Mmoja namuheshimu sana humu ila sasa nitaanza Kumdharau amesema kuwa Mheshimiwa Mbowe Kavamiwa na Majambazi akiwa na Kimada aliyemnunua. Ameshindwa kujua ya kwamba Siku zote Mbinu za Kijasusi huwa zinaratibiwa vyema na Kimkakati zaidi kwa kuwahusisha Magenge ya Wahuni ili hata likija Kufanikiwa basi hao Majasusi wasijulikane moja kwa moja kama ni Wao.

Kwa hali ilivyo na kwa uelewa wangu mdogo sana wa Masuala ya Usalama ( Ujasusi ) ila wale wanaojua zaidi yangu hapa JF watanisaidia ni kwamba kwa Nyakati tuliopo na kwa Hofu ya Wapinzani na Agenda zao, na kwa Uchungu wa Kulikosa Jimbo la Hai ambalo wanalitaka na kwa kutaka Kuleta Hofu na Vitisho nitakuwa wa mwisho Kuamini kama katika hili Tukio la Mbowe hayo Mapanga hayakuwa na Sumu za Kijasusi.

Namalizia tu kwa kusema kama Tanzania ya sasa imefikia hapa ambapo Wanasiasa wanafanyiwa mambo haya mabaya halafu nchi ina Kiongozi Mkuu na ina Idara yake ya Usalama na mambo (matukio) haya yanatokea kila Kukicha ila wanayanyamazia basi huenda kwa Mwaka huu Tanzania ikawa na Vifo vingi vya Wanasiasa (hasa wa Upinzani) na Wanaharakati kuliko wale ambao labda CORONA ingewauwa au imewauwa.

Nawaombea LAANA mbaya sana na Kali mno kwa Mwenyezi Mungu hawa Wote wanaoyafanya haya na hasa huyo Mkubwa wao anayewatuma.
Hivi hawa majambazi wanatuvamiaga sisi tusio wanasiasa wakivamiwa wengene ni siasa pia mbowe hana maadui binafsi nje ya siasa najiuliza tu
 
Uongozi wa serikali ya awamu ya tano ni uongozi was kipumbavu kabisa
 
Yan Mbowe kuka nyangwa anasea ni magufuli huu ujinga sijui utaisha lin toka Lin magufuli AKA kanyaga watu??
Hivi hawa majambazi wanatuvamiaga sisi tusio wanasiasa wakivamiwa wengene ni siasa pia mbowe hana maadui binafsi nje ya siasa najiuliza tu
 
Unaonaje wewe ukiwa ni kiongozi wa washenzi?
Chadema ni wapuuzi sana baada ya issue ya corona kubuma mmeanza mchezo wenu wa kujiteka,washenzi sana nyie,mtashindwa tu
 
Mwanaharakati huru na genge lake wameshafanya yao
 
Pole Mbowe #StyleYaSutiTokaChato
FB_IMG_1591344344390.jpeg
 
Back
Top Bottom