Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Hii ni kazi ya Mwenyekiti wetu wa CCM, ametuma tena GENGE lake la Watu wasiojulikana. Sijui kwanini anawaogopa Wapinzani kiasi hiki? Amejenga mabarabara, madaraja, kununua ndege n.k japo kwa fedha za mikopo ambayo tutailipa wananchi wenyewe huko mbeleni, lakini bado hofu imemjaa tu.Ona huu ujinga mwingine! Yani mtu unatembea mpaka usiku wa manane alafu huna walinzi kisa korona? Huko anakozungukia hakuna korona?
Chadema ni fungu la kukosa
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app