Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Kwaio hao watu walio tumwa ndio wame mkanyaga mbowe na je walikua wangap na vip wote wamemkanyaga?
Mwenyekiti aache kutumia MTUTU WA BUNDUKI kuongoza nchi, kuna leo na kesho. Shauri yake.
 
Saa 6 usiku alikuwa anatoka wapi? Isije kuwa alifumaniwa na mke wa mtu...

All in all poleni Makamanda..
 
Kwa mujibu wa biblia ya elungata?
Kwa mujibu wa...
Situational Awareness as a Preventive Tactic
Animals are creatures of opportunity. They’ll typically only attack another creature if they look vulnerable. Lions will go after younger, sicker, or older gazelles because they’re easier to catch. The same goes with humans. Criminals are typically going to go after a person who looks vulnerable, whether the victim is physically weaker or will simply be easy to catch off guard.

Practicing situational awareness goes a long way in keeping you from appearing like an easy target. When you’re out and about, look alert. Get your nose out of your smartphone. When you’re walking back to your car at night, have your keys at the ready and constantly scan your surroundings. The less vulnerable you look, the less likely someone is going to mess with you.

Here’s another tip on not looking like a victim, from the guys at Sage Dynamics: Always keep a tactical flashlight on you and bust it out at nighttime. Having a light allows you to better observe in the darkness, but it can also act as a deterrent to would-be bad guys. Because law enforcement officers are usually the only ones shining flashlights down alleys and under cars, if you’re shining your light as you walk to your destination or back to your car, the bad guys are probably going to think you’re a cop and will likely just leave you alone. If worst comes to worst and you do end up getting jumped, you can use the tactical flashlight as a defensive tool by blinding your would-be attacker with the bright beam or even hitting him with the beveled edge that’s often built into the handle.
 
Pole sana kwake.
Lakini, Je,usiku huo alikuwa anatoka wapi?
Anapovamiwa dereva wake alikuwa wapi?
Kwa maoni yangu nahisi Nusu kuna ukweli lakini Nusu nyingine ina UKAKASI.
 
Watakaoleta machafuko sio watanzania wa kawaida ....
Hao wasio wa kawaida ni wachache, watadhibitiwa mapewa sana.

Bwana mkubwa anajua kuwaziba midomo wale wote walio hatarishi kwenye utawala wake.

Wastaafu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama wamehakikishiwa mirija ya pesa isiyo na kikomo , unategemea watakuja kuukata mkono unaowalisha ?
 
Naona mapicha tu hapa yaani hata hao aliokuwa nao kumsindikiza Boss wao home wameshindwa? Wakamuacha aende peke yake
Kutembea Usiku au mchana hakujalishi alipaswa kuwa na walinzi au wapambe
Hata mimi kapuku huwa nina machale
 
Ila vitu vingine jamani, inamaana Mbowe hana bodigadi,yaani anatembea bila walinzi?? Diamond ana bodgad sembuse Kub?? Tuache maigizo basi
Halafu uck wa manane.
Kwakuwa anaishi Area 'D' (mtaa wenye ulinzi), aliona hakuna haja kwake kuwa na walinzi.
 
Naona mapicha tu hapa yaani hata hao aliokuwa nao kumsindikiza Boss wao home wameshindwa? Wakamuacha aende peke yake
Kutembea Usiku au mchana hakujalishi alipaswa kuwa na walinzi au wapambe
Hata mimi kapuku huwa nina machale
Nilikuwa nasikia CHADEMA haina ofisi ya Makao Makuu ila wamepanga. Picha ya hayo makazi ya Makao Makuu, hata nyavu zimechakaa, du! Yumkini hata kulipa walinzi imekuwa ni tabu tupu.

 
Mwisho umefika msikae kulialia..viongozi walindwe na hilo genge la wapuuzi linajulikana ifanyike revenge
 
lakini mbowe mbona mstaarabu sana kuliko lissu
mbowe hana ile makitu tunaita manati ya mzungu
 
Tumefikia mahala ambapo Serikali na jeshi la polisi limeparalize. Ni jeshi la polisi ndio lenye dhamana ya kuhakikisha raia Wake wako salama. Ni vigumu kusema kuwa TZ kuna amani kama Dodoma inageuzwa kuwa machinjioni kwa viongozi wa upinzani.

Yote ya uchumi yanayozungumzwa yamefanywa katika awamu ya 5 ni bure kama uhai wa mtanzania haujapewa nafasi inayostahili. Shambulio la Mwenyekiti wa CHADEMA ni tishio la amani kwa Tanzania nzima. Sijui Rais kashatoa tamko au ndio kapotezea.

Namuombea mheshimiwa apone mapema.
 
Back
Top Bottom