Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Haya mambo siyo yakuyafumbia macho kwasababu ya nazaa tabaka lenye chuki na inaweza kuja siku moja ikatokea kulipiza kisasi nda ndiyo nchi itaingia katika machafuko haswa Chama Tawala kinawajibu wakulinda amani ya nchi hii Upinzani siuadui na hakuna mwenye hili taifa, taifa ni letu sote hakuna wakujiona yeye ndo mstahiki katika hii nchi. Kama wasipofanyia kazi haya makundi ya utekaji ,kupiga watu risasi basi ipo siku hapa tanzania mtakuja kunikumbuka!Kwa haya ninayoandika
 
Ningekuwa mimi ni Lissu au Mbowe, ningeachana kabisa na siasa za nchi hii. Lissu ni advocate na lawyer mzuri sana na mzoefu, akienda nchi za nje hawezikosa kazi nzuri. Hii nchi SI salama tena kwa vyama vya upinzani na mashindano ya hoja. Kwa sasa ni risasi tu. Sasa utaona kama kuna watakaokamatwa kwenye hiyo inshu. Hata upelelezi hautafanyika. Inaskitisha sana!
 
Lakini kwa nijuavyo mimi tangu kushambuliwa kwa lisu ni lazima chama kilijipanga kwa kuongeza ulinzi hasa kwa viongozi wakubwa kama mwenyekiti.....najiuliza tu walinzi wa mheshimiwa walikuwa wapi??
 
Hii ni kazi ya Mwenyekiti wetu wa CCM, sijui kwanini anawaogopa Wapinzani kiasi hiki? Amejenga mabarabara, madaraja, kununua ndege n.k japo kwa fedha za mikopo ambayo tutailipa wananchi wenyewe huko mbeleni, lakini bado hofu imemjaa tu.
 
John Kennedy alivyokuwa assassinated hakuwa na walinzi ?
Jf Kennedy hakupigwa km mbowe alidunguliwa na sniper aliyekuwa juu ya ghorofa isingewezekana hata kidogo jfk kuvamiwa na kupigwa kwasababu ya ulinzi mzito aliokuwa nao mbowe alivamiwa na watu 3 wakampa kichapo that means walimshussha kutoka kwenye gari wakampa kelbu za maana swali ni je dereva wake alikuwa wapi? Walinzi wake je? Na inawezekana VP mbowe kutembea bila walinzi usiku wa manani?
 
Akikujibu nitag
 
Kama wangekuwa wabaya wake mbona hawakumuuwa sasa?

Hii ni planed mission tena ili kuichafua serikali,
Mbinu kama ile ya tundu, risasi kutokea kushoto halafu dereva anatoka salama bila hata kovu, kisha anatorokea nje ya nchi mpaka leo eti anatibiwa kisaikolojia.

Chadema hamshituki muache huu mtindo?

Wangwe alipangiwa Deus mallya kisha leo deus mnaye humohumo ndani
 
Chadema ni wapuuzi sana baada ya issue ya corona kubuma mmeanza mchezo wenu wa kujiteka,washenzi sana nyie,mtashindwa tu
Hii ni kazi ya Mwenyekiti wetu wa CCM, sijui kwanini anawaogopa Wapinzani kiasi hiki? Amejenga mabarabara, madaraja, kununua ndege n.k japo kwa fedha za mikopo ambayo tutailipa wananchi wenyewe huko mbeleni, lakini bado hofu imemjaa tu.
 
Mmh hizi si dalili nzuri kabisa kuelekea uchaguzi mkuu. Njia zote zimeshindikana sasa hii ya kuumizana ndio silaha yao ya mwisho iliyobaki. KUKICHWA KUTAMBAZUKA. WAKATI SI MILELE.

Jr[emoji769]
We shall overcome. AMEN
 
Ona huu ujinga mwingine! Yani mtu unatembea mpaka usiku wa manane alafu huna walinzi kisa korona? Huko anakozungukia hakuna korona?

Chadema ni fungu la kukosa

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Kwani chadema si wana redbrigade? Wako wapi? Na kazi yao ni nini? Km wanashindwa kuwalinda viongozi wao? Unaanzaje kuomba ulinzi kwa watu unaodai hawakupendi na wanataka wakuue? Wakati unaomba huo ulinzi kwanini usijihami kwanza mwenyewe kuliko kusubiri?
 
Until we wake up and fight the fascist who is pretending to lead the country but infact leading a gang of lunatics. The fascist has now turned down the intelligency apparatus who were trained and groomed through Tanzania's tax payers sweat into brutal demonic gangs. Tanzanians should rise up now it is time to fight. I know no single person shall be arrested on this. It is time to doubt all the security system now. It is time to secure ourselves walk prudently have your weapon handy always.
 
Kwaio Mbowe Kaka nyangwa Mpaka kavunjika mguu na mkono alikua amekaa style gani Mana inaonesha wazi hakua amelala chali Wala kulalia tumbo Kuna stail alikua amekaa MTUSAIDIE jaman

Amekanyagwa vipi


Tusilete siasa kwenye Aman ya nchi tuelezen kwa undan ili tupime hoja Kama Kuna mkono wa mtu Basi Sheria ifate mkondo wake

Kila mtu apewe haki yake Tundulisu ameahid kuongea baadae juu ya swala la Mbowe
 
Hakuna kitu hapo ni kiki tu
Yaleyale ya Lisu , kapigwa kushoto kavimba kulia!
Hii ni kazi ya Mwenyekiti wetu wa CCM, sijui kwanini anawaogopa Wapinzani kiasi hiki? Amejenga mabarabara, madaraja, kununua ndege n.k japo kwa fedha za mikopo ambayo tutailipa wananchi wenyewe huko mbeleni, lakini bado hofu imemjaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…