Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Eti hili ni tukio la kawaida!!Polisi wa nchi sio kabisa!!

Dereva wa Mbowe awekewe ulinzi maana wanaweza kufanya lolote ikiwemo kumlisha maneno au vinginevyo.
 
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao
 
Daah hali ni mbaya kwakweli, Mnyika anaongea kwa jazba na Munkari haswaa

Ila maswali ya msingi ni hayo alilouliza Mnyika kuwa ni kwanini hii mikasa inawakuta tu Viongozi wa upinzani?

Ni kwanini baada ya tukio la Tundu Lisu hawakuhakikisha kuwa eneo hilo litakuwa salama throughout?

Hii ndio Tanzania.
 
Sijui ni Watanzania wepi wanaohubiriwa wanapendwa kwa kuwajali
 
Yaani hana hata wapambe wa kuunga tela,,nini faida ya pesa kama haiwezi hata kukulinda sasa?
Nimesikitika na kushangaa sana sana,
hao inatakiwa polisi wanakuja eneo la tukio wanakukuta uko imara na wakiangalia hao wahuni viuongo vyao vimetapakaa kila mahali, halafu kwa dharau unawaambia chukueni hao wahuni au nichukue nikawape mbwa wangu wale
 
Ukisikiliza walichoongea viongozi wa CDM kilichojiri usiku wa shambulio, muda na mahala; inaonekana viongozi wa CDM huko Dodoma wapo under surveillance muda mwingi.

Unaweza kuelewa kwanini sasa DC Katambi alijigamba anajua wabunge wa upinzani wenye tabia za kununua dada poa ni watu hao hao wanaofuatilia mienendo ya viongozi wa CDM ndio watakuwa waliompa hizo info.

Nani mwenye resources za mchezo ivyo kuweza kufuata watu hadi usiku wa manane ni vyombo vya ulinzi tu; na ndio waliompiga Mbowe hakuna mwingine.
 
Mmh hizi si dalili nzuri kabisa kuelekea uchaguzi mkuu. Njia zote zimeshindikana sasa hii ya kuumizana ndio silaha yao ya mwisho iliyobaki. KUKICHWA KUTAMBAZUKA. WAKATI SI MILELE.

Jr[emoji769]
Mkuu ametoa pole?
 
Nilikuwa nasikia CHADEMA haina ofisi ya Makao Makuu ila wamepanga. Picha ya hayo makazi ya Makao Makuu, hata nyavu zimechakaa, du! Yumkini hata kulipa walinzi imekuwa ni tabu tupu.


Yaani mbaya zaidi Mwenyekiti hana hata mtu wa kuwa nae ?
Bado natafakari
 
Kapigwa na wahuni Kama walivyosema!!!

Sasa Magu anaweza tuma wahuni? Kupiga tu? Hebu jamani tuwe tunafikiria?

Halafu wanatoa na maneno kabisa ukome kutukana Rais? Ha ha ha ha

My brain umekataa kukubali hili.
Hamna lolote,
Usitetee ujinga hapa
 

Yaani binaadamu unamwona ni sawa na mnyama?
 
Tuna pata taabu kuelewa baadhi ya yaliyo tokea na sisi tuelewe.
1) Jee wakati mbowe akienda kwake na apambana na majambazi walio msindikiza walikuwa wapi ?.
2) Jee walio mchukua kumpeleka Hospitali waliitwa? au walishuhudia tukio ?
3) Jee muda gani baada ya tukio walienda kuripoti polisi ?.
4) Na ni nani aliyereport tukio ?.
Tuwekeeni wazi hili tukio ili tuungane wote kuishambulia kwa kulaani yule ambaye itajitikeza amefanya hili tukio.
Lazima tuwe na taratibu za kunyooka za kufatilia matukio muhimu ya Taifa letu.
 
So SAD why did Mbowe deserve this? WHY WHY WHY. This is a WAKE UP CALL for all Tanzanians who are FED UP with this CROOK and his PUPPETS
.

Jr[emoji769]
 
Ulaaniwe we na uzao wako wote
 
Yaani baada Mh.Lisu kutangaz nia , jana hawakungoja hata siku ipite ?
Wameonesha kuwa Nia na dhamira ya kuwamaliza Chadema iko pale pale?
Hawa jamaa wasiojulikana itakuwa wana maslahi ya kisiasa fulani!
Lakini
Time will tell.
This is the right time to contemplate and work on it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…